Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Hizo form six wanavaaga marefa wa mieleka sasa wewe mkuu unafanya ndio ya mtoko, namna Gani paleeπŸ˜‘
Kipindi nimenunua nilikuwa najiona blazameni nikiivaa, ila siku za karibuni imenivunja moyo
 
Achana nayo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…