Huyu secretarybird yeye anatembea na ile nyundo ndogoKwa hiyo na wewe unatembea nayo hiyo nyundo 🙆
Ndogo?Huyu secretarybird yeye anatembea na ile nyundo ndogo
Ni sahihi kabisaUPDATE:
01:30 PM
Nguo tayari imechukuliwa wakuu.
Naomba niwaambie kitu,
tuacheni dharau na kejeli, kama wewe una vitu na vimekutosheleza basi Kuna watu tunao hapa hapa na wanauhitaji mkubwa.
Huenda una masufuria wewe hauyatumii Yako stoo tu na Wala hauna mpango wa kuyatumia, basi Kuna mtu anahitaji Sana hivyo vyombo ila Hana Hela ya kununua (Yes hata kama chombo kinauzwa 2,000 Kuna mtu Hana hiyo hela, niamini mimi Hana kweli)
🙏
Jina sijalishika alaf siko home nikirud nitaenda kukuchukulia namba au nitamtuma mtu akachukueWana account insta? share handle yao mamdogo.
Ndo wenye nchi hao. Kila mtaa wapo.Nguo za wasukuma hzo
Sijalishika jina ila nitakupa update nikifanikiwaLinaitwaje??
Thank you sweetheart.Jina sijalishika alaf siko home nikirud nitaenda kukuchukulia namba au nitamtuma mtu akachukue
Wenye kiwanda ni wasukuma,?Nguo za wasukuma hzo