zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Tanzania vyama ni viwili ccm na chadema asa we unachoona cha ajabu kipi ?
Nimekubali CHADEMA ni kiboko ya samia na ccm yake. Mkwara wa CHADEA umeibua mpaka farasi na miumbwa koko. Asanteni CHADEMA tumejua samia ni dhaifu kiasi gani