Gentleman,Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo View attachment 3608765
Ni ndogo??60000? Unaleta thread
60000? Unaleta thread
Ni ndogo??
Ukute kaningβinia kwenye mwendo kasi sahizi anatoa povu tu!Hii mitandao watu wanajitutumua sana!
Iko hivi hawa traffic kuna mahali huwa wana force faini ili wakamilishe hesabuHabari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo View attachment 3608765
Kuna kosa la kiufundi umelifanya hapa katika kuanika hilo karatasi la fine!Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo View attachment 3608765
Nyingi sana hii kwako?60000? Unaleta thread
Gentleman,
sio rahisi gari lako ukalitumia mwenyewe pekee mwaka mzima,
inaweza kua ulilipeleka gereji, baada ya marekebisho, wakati fundi gereji analitest barabarani akakutana na hiyo kitu halafu akapiga kimya,
inawezekana ulipeleka gari lako car wash, muosha magari wa eneo la ofisi yako au makazi yako ulie mzoea na kumuachia funguo za gari, alitumia gari lako na kukutana na hiyo kitu,
inawezekana ulisindikizwa airport na gari lako, na aliekua akirudi nalo home akakutana na hiyo kitu,
inawezekana ulitoa gari lako kwa nia njema tu kusaidia jambo fulani muhimu, mathalani kumpeleka mgonjwa hospital, kupeleka wageni wako mahali fulani kwa kumtumia dereva wako unaemuamini akakutana na hiyo kitu n.k n.k.
Sinarioz za kutokea kwa hiyo kitu ni nyingi na hata ulalamike namna gani, ni ngumu mno kuchomoka.
Nadhani ni muhimu sana kulipa, na kuchukua changamoto hiyo kama fursa muhimu sana kwako ya kuongeza umakini zaidi wa matumizi ya chombo chako cha usafiri π
Hapana. Na hakika ndugu, mwaka huu hakuna aliendesha gari yangu . Narudia tena hakuna, wala sijawahi acha sehemu yeyote, ni uhuni umefanyika, na kwa nini serekali ina ruhusu kuandika faini kwa kutumia plate number? Ni rahisi sana kuwepo na uonevu.Gentleman,
sio rahisi gari lako ukalitumia mwenyewe pekee mwaka mzima,
inaweza kua ulilipeleka gereji, baada ya marekebisho, wakati fundi gereji analitest barabarani akakutana na hiyo kitu halafu akapiga kimya,
inawezekana ulipeleka gari lako car wash, muosha magari wa eneo la ofisi yako au makazi yako ulie mzoea na kumuachia funguo za gari, alitumia gari lako na kukutana na hiyo kitu,
inawezekana ulisindikizwa airport na gari lako, na aliekua akirudi nalo home akakutana na hiyo kitu,
inawezekana ulitoa gari lako kwa nia njema tu kusaidia jambo fulani muhimu, mathalani kumpeleka mgonjwa hospital, kupeleka wageni wako mahali fulani kwa kumtumia dereva wako unaemuamini akakutana na hiyo kitu n.k n.k.
Sinarioz za kutokea kwa hiyo kitu ni nyingi na hata ulalamike namna gani, ni ngumu mno kuchomoka.
Nadhani ni muhimu sana kulipa, na kuchukua changamoto hiyo kama fursa muhimu sana kwako ya kuongeza umakini zaidi wa matumizi ya chombo chako cha usafiri π
Gentleman,Hapana. Na hakika ndugu, mwaka huu hakuna aliendesha gari yangu . Narudia tena hakuna, wala sijawahi acha sehemu yeyote, ni uhuni umefanyika, na kwa nini serekali ina ruhusu kuandika faini kwa kutumia plate number? Ni rahisi sana kuwepo na uonevu.
Hii nitaizingatia, kuna siku traffic kakamata magari kibao anafanya ukaguzi. Nokamwambia hii gari haina kosa lolote nataka kuona utaniambiaje? Akasema aisee nenda tuu.Iko hivi hawa traffic kuna mahali huwa wana force faini ili wakamilishe hesabu
Traffic anakusimamisha anajifanya kukagua kisha anakuomba leseni, anaikagua au anaipiga picha anakurudishia
Akifanya hivyo hakikisha unakagua madeni kabla ya kuondoka maana atakuwa ameakuandikia fine bila kosa
Dawa yao ni kutowapa leseniHii nitaizingatia, kuna siku traffic kakamata magari kibao anafanya ukaguzi. Nokamwambia hii gari haina kosa lolote nataka kuona utaniambiaje? Akasema aisee nenda tuu.
We jamaa kama mchawi, mtu anasema anatumia mwenyewe unaanza kusema haiwezekani!Gentleman,
sio rahisi gari lako ukalitumia mwenyewe pekee mwaka mzima,
inaweza kua ulilipeleka gereji, baada ya marekebisho, wakati fundi gereji analitest barabarani akakutana na hiyo kitu halafu akapiga kimya,
inawezekana ulipeleka gari lako car wash, muosha magari wa eneo la ofisi yako au makazi yako ulie mzoea na kumuachia funguo za gari, alitumia gari lako na kukutana na hiyo kitu,
inawezekana ulisindikizwa airport na gari lako, na aliekua akirudi nalo home akakutana na hiyo kitu,
inawezekana ulitoa gari lako kwa nia njema tu kusaidia jambo fulani muhimu, mathalani kumpeleka mgonjwa hospital, kupeleka wageni wako mahali fulani kwa kumtumia dereva wako unaemuamini akakutana na hiyo kitu n.k n.k.
Sinarioz za kutokea kwa hiyo kitu ni nyingi na hata ulalamike namna gani, ni ngumu mno kuchomoka.
Nadhani ni muhimu sana kulipa, na kuchukua changamoto hiyo kama fursa muhimu sana kwako ya kuongeza umakini zaidi wa matumizi ya chombo chako cha usafiri π
Ni vita ya mashariki ya kati na Ukraine mkuu imesababisha EFDs kutetemeka na kucharaza mambo kwa kujiamulia tu.Changamoto inashughulikiwa.In case of emergency lipa deni hilo kwanza.Habari, leo nikiwa na kagua nijue nadaiwa kiasi gani cha maegesho ya gari gafla nakuta na daiwa sh 60000 ya makosa barabani , sijui niliandikiwa wapi na lini ! Huu utaratibu ukoje ? Naweza peleka malalamiko ? Moderator Maxence Melo View attachment 3608765