Hii ni haki kweli? Nimekuta gari yangu inadaiwa wala sijui kosa, sina taarifa yeyote

Hii ni haki kweli? Nimekuta gari yangu inadaiwa wala sijui kosa, sina taarifa yeyote

Sio kila kitu cha kubisha.
hakunaga kitu kama huo upotoshaji gentleman, yaani wew una nin special ili uandikiwe fine bila kosa?

siwezi kukubaliana na upotoshaji hata siku moja gentleman 🐒
 
hakunaga kitu kama huo upotoshaji gentleman, yaani wew una nin special ili uandikiwe fine bila kosa?

siwezi kukubaliana na upotoshaji hata siku moja gentleman 🐒
Askari wasio waadilifu wapo, askari ni binadamu. Hatuishi nchi ya serikali ya malaika.
 
Kuna kosa la kiufundi umelifanya hapa katika kuanika hilo karatasi la fine!
Why note hide your Tel #'s?
Hiyo namba sio yangu niya
Kuna kosa la kiufundi umelifanya hapa katika kuanika hilo karatasi la fine!
Why note hide your Tel

Kuna kosa la kiufundi umelifanya hapa katika kuanika hilo karatasi la fine!
Why note hide your Tel #'s?
Namba niya traffic aliendika faini , sio yangu. Nimefanya hiyo kulingana na sheria na sheria mpya za kimtandao.
 
Dawa yao ni kutowapa leseni
Kuna fine unaandikiwa bila kuweka leseni yako! Wanaweka plate number ya gari!

Na wakati mwingne unaweza andikiwa fine na traffic bila ya yeye kuhitaji kukusimamisha!!!

Hii imewahi kunitokea mara mbili ya kuandikiwa fine bila kusimamishwa na wakaandika plate number!
 
Daaah usipowapa leseni si ndiyo bifuu mzee, maana wanataka kujua km unayeendesha umekidhi vigezo vya kuwa na leseni? Maana bila ya leseni huruhusiwi kuendesha gari .
Mimi huwa nawaambia nimeisahau ofisini, hivyo hukitaka utumiwe hata picha
Unapaki gari una relax ukisubiri utumiwe
Hicho kitu hawakipendi Kama nini kwakuwa utawaona wanavyopiga pesa kwenye magari mengine.. Hivyo hawachukui muda watakuruhusu uondoke kwa excuse yoyote ile😂
 
Kuna fine unaandikiwa bila kuweka leseni yako! Wanaweka plate number ya gari!

Na wakati mwingne unaweza andikiwa fine na traffic bila ya yeye kuhitaji kukusimamisha!!!

Hii imewahi kunitokea mara mbili ya kuandikiwa fine bila kusimamishwa na wakaandika plate number!
Ni makosa makubwa hatujui tu.. Inabidi uwe notified
Ila sometimes ikitokea hivyo makosa yanakuwa kwenye gari na si ya dereva
 
Gentleman,
sio rahisi gari lako ukalitumia mwenyewe pekee mwaka mzima,

inaweza kua ulilipeleka gereji, baada ya marekebisho, wakati fundi gereji analitest barabarani akakutana na hiyo kitu halafu akapiga kimya,

inawezekana ulipeleka gari lako car wash, muosha magari wa eneo la ofisi yako au makazi yako ulie mzoea na kumuachia funguo za gari, alitumia gari lako na kukutana na hiyo kitu,

inawezekana ulisindikizwa airport na gari lako, na aliekua akirudi nalo home akakutana na hiyo kitu,




inawezekana ulitoa gari lako kwa nia njema tu kusaidia jambo fulani muhimu, mathalani kumpeleka mgonjwa hospital, kupeleka wageni wako mahali fulani kwa kumtumia dereva wako unaemuamini akakutana na hiyo kitu n.k n.k.

Sinarioz za kutokea kwa hiyo kitu ni nyingi na hata ulalamike namna gani, ni ngumu mno kuchomoka.

Nadhani ni muhimu sana kulipa, na kuchukua changamoto hiyo kama fursa muhimu sana kwako ya kuongeza umakini zaidi wa matumizi ya chombo chako cha usafiri 🐒
Sawa chawa mkuu
 
Back
Top Bottom