Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

Huyo mtoto akipimwa vizuri atagundulika na kifafa cha akili
N:B: msiniulize nimejuaje tatizo hili huwakumba mashabiki wote wa hiyo timu
Wewe na mleta mada mna kifafa cha akili hata msipopimwa. Hata mtu mzima angewekewa hizo nembo mbili angechagua moja. Sasa maelezo mareefu ya nini?
 
Kuna mahala hapo nyuma ya kichwa Yako ulipigwa sana makonzi imekuletea shida ya afya ya akili
 
Waliopiga marufuku bangi walikuwa Sahihi.

Na hivi ndio inavutiwa Kwa kificho madhara yako hivi, sasa pata picha ingehalalishwa kama sigara ingekuwaje?
We unaongea nini?mbona wewe ndio unachangia kama mvuta bangi..we ukijitathmini una akili kweli?
 
Nami nichukue nafasi hii kuuliza kama mdau Mwingine apendavyo kuuliza. HIVI HUU UJINGA MNAZALIWA NAO AU MNAJIFUNZIA UKUBWANI? Maana reasoning ya Ubongo wako ni hamna kabisa
 
Nami nichukue nafasi hii kuuliza kama mdau Mwingine apendavyo kuuliza. HIVI HUU UJINGA MNAZALIWA NAO AU MNAJIFUNZIA UKUBWANI? Maana reasoning ya Ubongo wako ni hamna kabisa
We nenda kanye mavi ya njano huko..huna akili..Azam kwa sasa inaweza ikawa kubwa kuliko yanga.
 
Endeleeni na sifa za kijinga zisizo na kichwa wala miguu halafu mwishoni mukipigwa tena 🖐🏿 munatafuta wa kumtumpia lawama.
 
MBUMBUMBU NI MBUMBUMBU TU HATA IWEJE NI MBUMBUMBU TU
 
Hakuna confirmation report ya kusajiliwa kwa huyo dogo.....
 
Hicho chumba sijui ni stoo!
 
Hicho chumba sijui ni stoo!
Mimi mwenyewe siwafahamu hao ila kwasababu me ni mtu mwenye akili lazima niyaheshimu maisha yao..doesn't matter what...ila kwasababu wewe mavi ya njano yamekujaa kichwani kwako kama hiyo rangi ya mavi inayowakilisha timu yako..sikushangai kwa maneno yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…