Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

Mimi mwenyewe siwafahamu hao ila kwasababu me ni mtu mwenye akili lazima niyaheshimu maisha yao..doesn't matter what...ila kwasababu wewe mavi ya njano yamekujaa kichwani kwako kama hiyo rangi ya mavi inayowakilisha timu yako..sikushangai kwa maneno yako.
Ulitolewa lini Milembe?
 
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote.

Pia kitendo cha Chasambi kukataa mshahara wa millioni 6 Yanga na kukubali mshahara wa millioni 2 Simba, tafsiri yake au sababu ya msingi ni kwamba Chasambi ameangaalia ukubwa wa Simba sc na Yanga, akaona ni bora achezee timu kubwa na bora Tanzania,afrika mashariki na kati na timu inayojiandaa kucheza kombe la Dunia la vilabu kwa sh.milioni 2 ili apate exposure Duniani.

Ni ukweli usiofichika na usioweza kufichika ya kwamba Simba sc ndio mfalme na Baba wa football kwa ubora namba moja Tanzania,Afrika mashabiki na kati kwa kipindi kilichopita,kwa sasa na kwa nyakati zote.

Pia nilichokiona washabiki wengi wa Simba sc hawapendi malumbano sana ila wanaongea kwa vitendo kama timu yao ilivyo..mfano kupewa taji la washabiki bora Afrika.
View attachment 2855148
Dah.
Jukwaa lina utoto mwingi hili
 
Klabu teuke kwa Mungu ni Ujinga na utoto wa hali ya juu.

Umeandika Pumba kijana.
Sasa image ndio timu pekee namba 1 na bora Tanzania,Afrika mashariki na kati na ni ya 7 kwa ubora Afrika..timu zingine Tanzania kama Azam,mtibwa,yanga n.k hawapo kwenye timu 100 bora barani Afrika..acha wivu na SIMBA sc mpaka FIFA wanaifahamu.
 
Sasa image ndio timu pekee namba 1 na bora Tanzania,Afrika mashariki na kati na ni ya 7 kwa ubora Afrika..timu zingine Tanzania kama Azam,mtibwa,yanga n.k hawapo kwenye timu 100 bora barani Afrika..acha wivu na SIMBA sc mpaka FIFA wanaifahamu.
Ndo timu teule kwa Mungu??
 
Back
Top Bottom