Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wanachekesha sana hawa wajinga , baby wangu.Hahaahah inachekesha sana...akili za kuambiwa changanya na zako...
Chimbo kisichokuwa serious always.Hao "Takuku" wamefanyia kazi jambo gani wakatoka na majibu sahihi?
Ukimwelewa na Mimi nielewesheKichwa cha habari "viongozi wa Simba na Yanga"
Content "Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo."
Tukueleweje ndugu mwandishi?
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake
UHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu..
Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize Kupita Maelezo Muda huu.
Ndugu zangu Takukuru simu za Waamuzi pia zimekuwa zipo bize sana nyakati hizi.
Najua mnafanya Kazi nzuri sana kwenye Maeneo Mengine Lakini ongezeni nguvu huku kwenye Michezo especially hii Kariakoo Derby
Najua sometimes kazi yenu inaongezwa ugumu na ukweli Kwamba ushirikiano wa Wadau umekuwa ni Mgumu sana Lakini Kuna jambo linapaswa kufanywa.
Huoni Moderators wameedit na kuleta habari yao kuanzia heading mpaka content?Kichwa cha habari "viongozi wa Simba na Yanga"
Content "Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo."
Tukueleweje ndugu mwandishi?
Kuna ubaya mjomba kumpigia simu mpwa wake!Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake
UHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu..
Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize Kupita Maelezo Muda huu.
Ndugu zangu Takukuru simu za Waamuzi pia zimekuwa zipo bize sana nyakati hizi.
Najua mnafanya Kazi nzuri sana kwenye Maeneo Mengine Lakini ongezeni nguvu huku kwenye Michezo especially hii Kariakoo Derby
Najua sometimes kazi yenu inaongezwa ugumu na ukweli Kwamba ushirikiano wa Wadau umekuwa ni Mgumu sana Lakini Kuna jambo linapaswa kufanywa.
Inatakiwa TAKUKURU waanze nao watoe ushirikiano, walishindwa wafunguliwe kesi.Kwa nini mnapenda kuwapandisha chati wapuuzi? Oruma, Lea na Jemadari Said wako tayari kuua image za watu ilimradi wapate contents. Nashangaa TFF tuhuma kubwa lakini zisizo na uthibirisho wanashindwaje kukemea hawa Wahuni?