Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake

TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu..

Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize Kupita Maelezo Muda huu.

Ndugu zangu Takukuru simu za Waamuzi pia zimekuwa zipo bize sana nyakati hizi.

Najua mnafanya Kazi nzuri sana kwenye Maeneo Mengine Lakini ongezeni nguvu huku kwenye Michezo especially hii Kariakoo Derby

Najua sometimes kazi yenu inaongezwa ugumu na ukweli Kwamba ushirikiano wa Wadau umekuwa ni Mgumu sana Lakini Kuna jambo linapaswa kufanywa.

1713288236989.png

1713288257197.png
 
Kwamba mzee ngungu amempigia simu Nyeto acheze chini yaa kiwango[emoji23][emoji23]
 
Hiyo habari haijaeleza Kama ni ya viongozi wa Simba au yanga Ila umeanza kuwatuhumu Simba kwanini wasiwe wale waliomtorosha Kakolanya kambini.
 
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake

UHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu..

Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize Kupita Maelezo Muda huu.

Ndugu zangu Takukuru simu za Waamuzi pia zimekuwa zipo bize sana nyakati hizi.

Najua mnafanya Kazi nzuri sana kwenye Maeneo Mengine Lakini ongezeni nguvu huku kwenye Michezo especially hii Kariakoo Derby

Najua sometimes kazi yenu inaongezwa ugumu na ukweli Kwamba ushirikiano wa Wadau umekuwa ni Mgumu sana Lakini Kuna jambo linapaswa kufanywa.

Akili huna
 
Wewe unawapigia ili uwaambie nini watu wapo kwenye kujiandaa na mchezo!!?

Hivi simu kuwa busy ndiyo kiashiria kipya cha rushwa!?
 
Kichwa cha habari "viongozi wa Simba na Yanga"

Content "Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo."

Tukueleweje ndugu mwandishi?
Huoni Moderators wameedit na kuleta habari yao kuanzia heading mpaka content?
 
Hii kwenye beating tunaweza "both team to score" yaani ikishinda Simba SC au Yanga ikishinda. Kitakachofuata ni "lishawaambia mapema mkapuuza."
NB. Binafsi hii habari ni uvumi tu.
 
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake

UHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu..

Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize Kupita Maelezo Muda huu.

Ndugu zangu Takukuru simu za Waamuzi pia zimekuwa zipo bize sana nyakati hizi.

Najua mnafanya Kazi nzuri sana kwenye Maeneo Mengine Lakini ongezeni nguvu huku kwenye Michezo especially hii Kariakoo Derby

Najua sometimes kazi yenu inaongezwa ugumu na ukweli Kwamba ushirikiano wa Wadau umekuwa ni Mgumu sana Lakini Kuna jambo linapaswa kufanywa.

Kuna ubaya mjomba kumpigia simu mpwa wake!
 
Kwa nini mnapenda kuwapandisha chati wapuuzi? Oruma, Lea na Jemadari Said wako tayari kuua image za watu ilimradi wapate contents. Nashangaa TFF tuhuma kubwa lakini zisizo na uthibirisho wanashindwaje kukemea hawa Wahuni?
 
Inatakiwa TAKUKURU waanze nao watoe ushirikiano, walishindwa wafunguliwe kesi.
 
Back
Top Bottom