Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo.
---
Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake
TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu..
Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize Kupita Maelezo Muda huu.
Ndugu zangu Takukuru simu za Waamuzi pia zimekuwa zipo bize sana nyakati hizi.
Najua mnafanya Kazi nzuri sana kwenye Maeneo Mengine Lakini ongezeni nguvu huku kwenye Michezo especially hii Kariakoo Derby
Najua sometimes kazi yenu inaongezwa ugumu na ukweli Kwamba ushirikiano wa Wadau umekuwa ni Mgumu sana Lakini Kuna jambo linapaswa kufanywa.