Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

mwanaume anaejitambua huwa anaona fahari kuwa mtawala na provider wa familia yake, sasa hawezi mtongoza mwnamke wa aina hiyo kwa kuofia kunyang'anywa nafasi yake ndani ya familia unless awe ni mvulana au wakiume na sio mwanaume
 
Marioo na vibenteni huu uzi wanaufuatilia kwa weledi.

Lesbooz unasababishwa na mwanamke kuwa na pesa,
Gayism unasababishwa na mwanaume kutokua na pesa.

Mbombo ngafuu, Bongo sihami wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee
 
Mwanamke yoyote mpambanaji mweny biashara kubwa Lazima atakua na masculinity kubwa.

Hapo ubabe,kufoka,ubize mwingi, kampani na wanaume(wafanyabiashara wenzie)
,Safar za mara kwa mara, kutokudeka kimahaba, hapa ndo mahala pake.

Ukimzingua anakufokea km anavowafokea wafanyakaz wake.

Mwanaume yoyote mwenye uanaume wako huwez kuishi na MKE wa hivi maana keshapoteza sifa za uanamke[emoji4]
 
Tatzo la hao wadada waliofanikiw historia inawahukumu,

Utakuta mafanikio yake ya mwanzo yalikuw na ushiriki na mme wake /mpz wake alipoanz kushik pesa kama desturi zao wakaona huyo mmewake hana maan akapg chin this time amepat pesa anawaza mume Tena

Majuto ni mjukuu
 
Principles zinakataa na kugoma mwanamme kuwa receiver,tangu enzi za mababu na uumbaji mwanamme ni mtoaji(giver),angalia maumbile ya mwanamme na mwanamke tulivyoumbwa,wanaume tunatoa tangu Edeni,hatuna mlango wa kuingiza(no entry) lakini tunatoa kwa kanuni hizo mwanamke anabaki kwenye nafasi ya kupokea na kuwa msaidizi maisha yakiwa hivyo no complains
 
Badae anapata upweke uliokithiri au sonona, anakua na hasira zisizo na msingi kiufupi wanapata shida sana.. mara nyingi furaha yao sijui ni nini ?
 
Hivi kuna uhusiano gani hawa wamama wenye maduka/business kulana wenyewe kwa wenyewe.. (lesbian)
 
Ndio maana tunatoa mbegu, wao wanapokea.
 
Mkuu let me guess,
SHE IS Above 30 yrs old.

women! women! wanadhani kuwa they do great things in life coz they got multiple degrees , good paying jobs, cars, houses .
TRUST ME BRO!
"I KNOW THEY ARE NOT HAPPY"

KWASABABU
what trully makes a woman happy is :-

  • SUBMITTING
  • FOLLOWING
  • SERVING
  • PLEASING A MAN
mkuu yeye ndio anatakiwa kuFix mindset yake (she think she is better than men).

muulize anajua wajibu wa mwanamke kwenye relationship?
anajua what makes a real man happy?

JE ANASIFA ZIFUTAZO?
Is she fit?
is she feminine?
is she cooperative?
is she sexy?
she got relationship skills right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…