Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Mzee chumvi kwenye chai, unatuaminisha kwamba huyo rafikiyo tajiri wa kike amekuwa haramu kwako hadi uje kutufokea vijana?

Hebu mng'ate kwanza tuone kama hana ngozi ngumu kisha leta mrejesho na location tutie timu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole aseee
 
Kweli kudate na mwanamke anayekuzidi kipato Ni nongwa Sana.

Mwanzoni atakutreat Vizuri Sana ila mkishafunga ndoa Hakuna rangi utakosa kuiona kwake.

Itafika siku akwambie utoke nje abadilishe nguo πŸ˜₯
πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Wanasema is fresh for a woman to have money but it is more fresher for Man to have [emoji385] money
Ndiomaana kama dada yuko na hela atakupa wewe hela ulipe bills ili akisitili mbele ya rafiki zake coz hata wao wanajua mwanaume kutokuwa na hela sio jambo jema
 
Mzee chumvi kwenye chai, unatuaminisha kwamba huyo rafikiyo tajiri wa kike amekuwa haramu kwako hadi uje kutufokea vijana?

Hebu mng'ate kwanza tuone kama hana ngozi ngumu kisha leta mrejesho na location tutie timu
Siku hizi kila kitu hapa mjengoni mnaita CHAI, shida juu ya nini?
 
Namba yangu ni ile ile, anahitaji msaada wa kisaikolojia tu huyo.
 
Kuna kitu kinaitwa ujasiri,kama huna hii,kumvamia mwanamke aliyekuzidi status au nguvu ya uchumi wanaume wengi hawana...
Inahitaji balls of steel ila kwa wenye confidence hamna wanawake warahisi kama hawa ambao wanajiweza. Huwa hawana njaa kwahio hata outing huwa wanasimamia hawezi kukuita mahali halafu halipii bills.
 
Mwanamke hata awe mpole namna gani, pesa ikiingia na upole unatoweka. Utaambiwa tangulia nyumbani mimi nina issue ya pesa na jamaa.
Hahahah thats bossing around. Huo ushamba si wanawake wote wanao lakini. Ukiwa na mwanamke mpuuzi kama Uwoya lazma aku dogg you out. Danga type ndio huwa wana bully wanaume wasio vyema kiuchumi.
 
Ni kweli sio akiwa tajiri tu ukiwa nae akiwa hana kijikazi cha kumuwezesha hata kupata vimia mia anakuwa mtiifu akianza kupata vijipesa anaanza kukuvimbia; sasa hao matajiri naona balaa lao sio la mchezo
 
Nitakumegea siri za hako ka Demi kako najua hukajui vizuri.

Wala ugali wa mtama na maziwa mgando + michembe wanaomtreat Demi wamo humu babu wanakuchora tu babu, au mpaka niwataje kwa majina ndio utaamini?

Demi hakufai babuu
cc dem

Kwa taarifa
 
Wanaviburi na hakuna mwanaume mwenye nguvu zakiume atakubali dharaulika. End
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…