Hii ni tofauti kubwa kati ya GSM na Mo

Unahamisha magoli tu.
Yanga bingwa.
Wala sitegemei shabiki yeyote wa uto anielewe hapo, kwahiyo haya majibu yenu wala hayanishangazi, sana sana ndio mnazidi kudhihirisha akili zenu wa huko
 
Na wewe ndio wale wale nilijua labda wewe walau utakuja na hoja tofauti na huyo mwenzio mropokaji, sasa ni wapi niliposema gsm kabla ya magufuli alikuwa kapuku na kwamba kaanza kuwa tajiri baada ya magu kufariki, kwani kabla ya magu kulikuwa na utawala wa aina gani na toka gsm aanze kuidhamini yanga imeanza kupata mafanikio mwaka gani
 
Umesema gsm ni fisadi, haoni shida kuchota pesa na kuzibwaga yanga, na kabla ya hapo mafisadi walidhibitiwa na Magu. Ndio umepewa taarifa kua gsm kaanza kudhamini yanga kipindi hicho hicho cha magu na yanga rasmi kuacha kutembeza bakuri.

Msimu mmoja mbele akaanza kujizolea makombe mpaka kufika fainali kimataifa.

Shida yako wewe una here say nyingi zisizo na uthibitisho wowote so ni ngumu kupinga au kukubali, ni kama imani.
Leta ithibati hata kama sio ya moja kwa moja.
 
Kuna siku Mo atakuja kudai pesa zake, na ni pale tu mtapoanza kumwambia awaachie Team yenu....!
 
Yani umeamua hadi ulete takwimu za uongo ili mradi tu upingane na ukweli wewe si umesema gsm kaanza kuidhamini yanga toka 2019 halafu unasema msimu mmoja mbele akaanza kujizolea makombe, kwamba mara hii umesahau yanga kaanza kuchukua ubingwa mwaka 2022 baada ya simba kukoma na magu kufariki na msimu huo huo ndio wakaanza kuenda kimataifa mbona mnapenda kujitoa ufahamu, na kwa taarifa yenu huyo gsm wala siyo mdhamini pekee wa yanga kuna vigogo wa serikalini wako nyuma yake ila kwa sasa endeleeni kwanza kufurahia ubingwa wenu wa mchongo ndoto ikiisha mkigutuka usingizini mtafuta matongotongo na ndio mtaanza kuona kile wengine tunachokiona ila kwa sasa bado sana
 
5-1
2-1
1-0
1-0
2-0
 
Kumbe takwimu unazo, mbona hutoi mkuu, tajiri kaingi 2019/2020 baada ya 2020/2021, 2021/2022 kaanza kuviokota kama mchanga baharini.

Mkuu hizo propaganda zipo tangu muda mrefu na sio hizo tu na nyingine nyingi mno kuhusu hizi timu.
Ila ni chache ambazo ni sahihi na hii yote ni kwasababu ya kuboronga kwa timu mojawapo.

Wakati simba anafanya vizuri kulikua na mgongo wa kisiasa??

Tafuteni watu sahihi wa kuongoza timu, hizi propaganda hazikuzi timu bali zinafanya mashabiki wawe mazuzu zaidi kwa kuamini wanaonewa kumbe uwezo wao wa kufikiri ndio umekomea hapo.
 
Huyu jamaa wakuitwa MO uswahili umemjaa sana hela zenyewe anaweka za manati halafu Uzi wote kajaza takataka zake za Matangazo, Uzi umekuwa posters vile Yani Kila sehemu ni Bidhaa za Mo zinatangazwa tu

Mo ajue fika Simba anaihitaji Kuliko yeye inavyomuhitaji kama anajihisi ni special sana abwage manyanga aone investors watakavotia haraka tu

Bure kabisa uyo mswahili koko
 
Sisi furaha yetu ni Africa.
Basi kila mtu aenjoy furaha yake 🀣🀣🀣
Aliyewaita mbumbumbu aliona mbali, huko Africa mmefanyanya nini? Kwamba nyinyi ni mabingwa labda, hatua gani mmefika Yanga hajawahi kufika enyi madunduka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…