Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nepotism ni janga na linaloharibu nchi yetuVitu vingine vidogo vidogo kama hivi sioni hata sababu ya kuvidiscuss humu jf !
Kwani kuwa na Mkwe au mtoto au mume katika shughuli yeyote ya kijamii au ya kitaifa unayoifanya kuna kosa gani hapo ??!
Yupo Rais humu Africa alimteua mke wake kuwa makamu wa Rais 😅🙏
Anabidi kuvaaje Mkuu ? Dunia inabadilika watu hambadiliki hizi sio zama za kuangalia Mtu kavaa Nini Bali watu wanaangalia una Nini ghorofani (kichwani) mnaachwa na Dunia watu wa ulimwengu wa tatu hujui mavazi sio issueHuyu mchengerwa huwaga anavaa hovyohovyo tu,apelekwe chuo Cha diplomasia akafundishwe dress code
PumbavuAnabidi kuvaaje Mkuu ? Dunia inabadilika watu hambadiliki hizi sio zama za kuangalia Mtu kavaa Nini Bali watu wanaangalia una Nini ghorofani (kichwani) mnaachwa na Dunia watu wa ulimwengu wa tatu hujui mavazi sio issue
Nani kakataa wasiwe viongozi?Ndugu wa rais nao Wana haki ya kuwa viongozi, kama ndo mnataka katiba mpya ya kuzuia ndugu za viongozi kuwa viongozi basi mjue mna shida Kwenye ubongo
Mnaishi miaka ya giza watu wa Dunia ya tatu .Pumbavu
NepotismMnaishi miaka ya giza watu wa Dunia ya tatu .
Unajua maana ya nepotism?Nepotism
Acha kucomplicate maisha weweKapelo, raba mkato, jinzi, shati la kuning'inia.
Mavazi ya Waziri mbele ya Rais yanaongea wazi, sijali lolote, bosi wangu mama angu, uwaziri kanipa yeye, anaulinda yeye ili binti yake alishwe, utanieleza nini....
hawajui hata kula na kipofu, kufeki kwamba tunapiga kazi, tuna heshima, tunathamini wananchi, tunaogopa mamlaka ya juu....
ujana maji ya moto
Unajua mambo ya dress code hebu tuanzie hapo?Isije nikaanza kubishana na mtu Hana uelewe kwenye masuala ya public service servantsAnabidi kuvaaje Mkuu ? Dunia inabadilika watu hambadiliki hizi sio zama za kuangalia Mtu kavaa Nini Bali watu wanaangalia una Nini ghorofani (kichwani) mnaachwa na Dunia watu wa ulimwengu wa tatu hujui mavazi sio issue
Still wire oooooI dont care, still...
Sema uwekewe mafanikio katika wizara alizopita na kufanya kazi.maana naona unakurupuka tu kwa kila kitu kwa kuwa tu kifua chako kimejaa chuki binafsi kwa mh Rais.Tuwekee ushahidi wa uchapa kazi wake
Naelewa vizuri ila Dunia imeshatoka huko Mtu anavaa decent clothes na sio hayo mambo yenu ya kizamani Mtu kuvaa kapelo kuna kosa gani ??Unajua mambo ya dress code hebu tuanzie hapo?Isije nikaanza kubishana na mtu Hana uelewe kwenye masuala ya public service servants
Dunia ipi iliyotoka huko?Naelewa vizuri ila Dunia imeshatoka huko Mtu anavaa decent clothes na sio hayo mambo yenu ya kizamani Mtu kuvaa kapelo kuna kosa gani ??
That is way tuko nyuma hatuna content upstairs za kujadili Taifa la wadangaji
Mjane wa Marehemu bado waweweseka tu!