Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

Vitu vingine vidogo vidogo kama hivi sioni hata sababu ya kuvidiscuss humu jf !
Kwani kuwa na Mkwe au mtoto au mume katika shughuli yeyote ya kijamii au ya kitaifa unayoifanya kuna kosa gani hapo ??!
Yupo Rais humu Africa alimteua mke wake kuwa makamu wa Rais 😅🙏
Nepotism ni janga na linaloharibu nchi yetu
 
Huyu mchengerwa huwaga anavaa hovyohovyo tu,apelekwe chuo Cha diplomasia akafundishwe dress code
Anabidi kuvaaje Mkuu ? Dunia inabadilika watu hambadiliki hizi sio zama za kuangalia Mtu kavaa Nini Bali watu wanaangalia una Nini ghorofani (kichwani) mnaachwa na Dunia watu wa ulimwengu wa tatu hujui mavazi sio issue
 
Kapelo, raba mkato, jinzi, shati la kuning'inia.

Mavazi ya Waziri mbele ya Rais yanaongea wazi, sijali lolote, bosi wangu mama angu, uwaziri kanipa yeye, anaulinda yeye ili binti yake alishwe, utanieleza nini....

hawajui hata kula na kipofu, kufeki kwamba tunapiga kazi, tuna heshima, tunathamini wananchi, tunaogopa mamlaka ya juu....

ujana maji ya moto
Acha kucomplicate maisha wewe
 
Anabidi kuvaaje Mkuu ? Dunia inabadilika watu hambadiliki hizi sio zama za kuangalia Mtu kavaa Nini Bali watu wanaangalia una Nini ghorofani (kichwani) mnaachwa na Dunia watu wa ulimwengu wa tatu hujui mavazi sio issue
Unajua mambo ya dress code hebu tuanzie hapo?Isije nikaanza kubishana na mtu Hana uelewe kwenye masuala ya public service servants
 
Acha uvivu wa kufikiri na chuki Binafsi. kwa hiyo kwa akili yako umeshindwa kutambua majukumu ya wizara ya Yakiwemo ni yapi na waziri wa Tamisemi anashughulika na nini? Kwa akili yako hiyo hiyo inayokutosha mwenyewe mpaka kukusaidia kuingia humu jukwaani umeshindwa kutambua kuwa halmashauri zipo chini ya Tamisemi na waziri mchengerwa ndiye mhusika? Yaani unajidhalilisha sana na kuonyesha namna usivyoweza kufikiri kwa kina na jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri.Mweye akili japo kidogo asingeweza kuleta jambo la namna hiyo uliloleta wewe hapa.

Chuki zako binafsi kwa mh Rais zilishakutoa akili kichwani na sasa umebaki kama kituko tu humu jukwaani. Nenda hospitali upate matibabu haraka sana kabla akili haijayumba jumla
 
Unajua mambo ya dress code hebu tuanzie hapo?Isije nikaanza kubishana na mtu Hana uelewe kwenye masuala ya public service servants
Naelewa vizuri ila Dunia imeshatoka huko Mtu anavaa decent clothes na sio hayo mambo yenu ya kizamani Mtu kuvaa kapelo kuna kosa gani ??

That is way tuko nyuma hatuna content upstairs za kujadili Taifa la wadangaji
 
Back
Top Bottom