Nakubali zoezi lilichafuliwa,
Na tuliona wazi kura feki,
Lakini pia ni UKWELI usofichika kuwa ushiriki wa vijana ktk uchaguzi 2020 ulikuwa chini sana.
Data za Nec za waliojiandikisha, waliojitokeza kupiga kura ni chache sana.
Vijana acheni ujinga, maisha ni HALISI Si Bahati, acheni Betting na ulevi, na UZINZI,
Wazazi wamechoka kuzika vijana wao before time!!!
Simba na Yanga mnajitokeza, mkiambiwa changieni harakati za siasa, mnadai nati zimekaza!!!
Tubadilike πππ
Haijalishi iwapo vijana walisusa au la...
Lakini ushindi ktk uchaguzi huamuliwa na walioshiriki kupiga kura..
Kwa mujibu wa daftari la kudumu la wapiga kura, jumla ya wapiga kura waliondikishwa tunaambiwaga ni zaidi au karibu 23,000,000..
Waliojitokeza kupiga kura mwaka 2020 inakadiriwa kuwa ni kama 13,000,000 na ushee hivi..
Ili ku - prove hoja yako, unaweza kujua kati ya hao waliopiga kura vijana walikuwa wangapi?
I am not sure kama unaweza kuwa na jibu la swali hili..
Hata hivyo, hiyo siyo hoja yangu. Ninachotaka uelewe hapa ni kuwa, kati ya hao 13,000,000 (vijana kwa wazee) waliopiga kura mwaka 2020, zaidi ya nusu waliipa CHADEMA na Tundu Lissu kura zao. Hoja ya vijana hapa is of very less important...
Shida kubwa ktk chaguzi zetu zote tangu 1995 chini ya mfumo wa vyama vingi
si vijana kutojitokeza kupiga kura bali shida iko kwenye mfumo mzima kutokuwa
just &
fair kwa vyama shiriki vyote katika uchaguzi ngazi zote. Ni mfumo unaokipa uhalali wa kisheria na kikatiba chama kilichopo madarakani ku - manipulate uchaguzi anyhow ili mradi chenyewe kinapata matokeo wanayoyataka...
Mfumo wa uchaguzi tulionao sasa ni mbaya na unakipendelea chama kilichomo madarakani ambacho kina monitor Kila kitu kuhusu uchaguzi. Yaani chenyewe kupitia serikali huamua logistics za uchaguzi ziweje ili mradi tu chenyewe hakiathiriwi negatively...
Hili ndilo tatizo na ndilo linalopaswa kuwa addressed vyema sasa ili kuleta
justice &
fairness kwa kila mtu ktk ngazi zote za uchaguzi. Na basically hiki ndicho CHADEMA wanachoshughulika nacho sasa. Ishu ya mkataba wa bandari zetu imekuja kutia nguvu tu harakati hizi..
By the way, angalia vyema hata mikutano inayoendelea sasa ya CHADEMA nchi nzima haihudhuriwi na vijana tu bali ni watu rika na jinsia zote...
This is to say, your point can't be justifiable...