Hii style nimeiona kwa wengi mjini


Asa mtu unajenga Chanika, utasema upo mjini.?
 

Au kwanini usiichukue iyo hela 40 milion ukafanya biashara ya 25 ukaweka reserve 10 milion alafu operation cost 5 milion baada ya miaka mitano ukanyanyuka mzima mzima na vitu viwili mjengo na biashara.

Kujenga nyumba ya kuishi ni moja kati ya uwekezaji mbovu kwa vijana. Chini ya miaka 45 hakika usijenge, ni hasara iyo pesa fanyia biashara zingine
 
Bila shaka kuna washkaji mkishakamata Lite ya 3 story zake alikua anakukatisha tamaa... akili kichwani
 
na umesahau vile vile kuna kufa,,ntajenga kipato kikiruhusu ila siwezi kujitesa kisa tu nijenge,,, unakuta mtu hali vizuri avai vizuri kisa tu anajibana ajenge mimi siwezi
 
Mkuu ulishawahi kujenga?
 
Yaani Bongo tunasoma ili tuajiriwe hafu tuoe kisha tuzae na tuangaike kusomesha tujenge na kununua IST kisha Tufe.

Basi.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…tupo bongo bahati mbaya tu karibu ulaya.
 
Acha uongo banda hani la mil 20 kuku wa milioni 2. Kuna watu mnakuaga wachawi sana kwenye kushauri mtu . Sijui mnatokaga famikia za kishua sana au ndo kuhikweza tu.
umeongea kwa hasira mpak mwandiko umevurugika
 
Kadri maisha yanavyopanda na watu wanajenga mijengo ya hatariiii
 
Biashara sio kwa kila mtu mkuu, tena nyakati hizi za mzee baba, unaweza kushangaa 45 yote imeungua!!
 
Kiwanja kina 60*60 hapa kiluvya 1km toka main road Bei 20m huduma zote safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…