Labda umenielewa vibaya mkuu..msisitizo wangu hapo ni kwamba kwa kuwa mimi sikupenda nusu nusu haina maana haikua rahis..]Hongera mkuu lkn binadamu hatufanani hasa ukizingatia background ya maisha pamoja na karma... so kila mmoja anajikuna pale mkono wake unapoishia
Upi mkuu?ujinga wa kiwango cha lami
Tena jamaa wamepanga mambo yakiwa magumu utasikia ni bora Ngosha alijenga wamesahau walikua wananicheka kwamba nakaa polini haya maisha lazima uchanganye sana akiliBila shaka kuna washkaji mkishakamata Lite ya 3 story zake alikua anakukatisha tamaa... akili kichwani
Ni wachache sana wanaojenga wakiwaa wanahela kamili mkononi ,Wengi wetu tumeunga unga na kujinyima ndo maana leo tunaitwa baba mwenye nyumba .Mkuu kufa kupo ila ukifa si tunawatoto watarithi .Hivi hujisikii hasra kumpa laki saba ana milioni mtu km kodi huwazi .Pia uhuru unao kua nao kwako hata ukitoka na taulo ama watoto wanacheza kwao.na umesahau vile vile kuna kufa,,ntajenga kipato kikiruhusu ila siwezi kujitesa kisa tu nijenge,,, unakuta mtu hali vizuri avai vizuri kisa tu anajibana ajenge mimi siwezi
Nilifanya huu upuuzi. Nilihamia sehemu nje ya mji wanaita Bunju, nikapanga kwa 200,000, na nyumba ni nzuri tu kule ushuani.Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya nyumba laki 3 na nusu kwa mwezi uchumi wake ni mzuri asee ningekuwa mimi nahamishia maisha pembezoni mwa mji ambako maisha ni nafuu ndani ya miaka 5 ntakuwa nshajenga.
Japo kupanga ni kuchagua.
350,000 ni nyumba kubwa sana hiyo pengine ni vyumba vitatu hata vinne kwa maeneo yetu haya ya tabata, kinyerezi,, gongo la mboto etc.True... ila hiyo 350 ni normal tu kwa wengi... kijiwen nina bwana mdogo mmoja 26 years tunapiga kazi yy analipa 900k.Mawazo yako haya hutakaa mshawishi...atakupiga makofi [emoji23]
Bachelor Pad au Family nest.....?!Kwanini usitafute nyumba ya 50k x 24months umesave Tshs ngapi?
kwamba unabishana na maandiko yaliyo sema siku za mwanadamu aliye zaliwa na.mwanamke ni chache, nazo zimejaa tabu na mateso.ki ukweli hata mimi nikipata hela uwezi kunishawishi nikakae pembezoni mwa mji yaani nikateseke chumba cha elfu 40, sijui nikaangaike kujenga kanyumba akaeleweki polini uko.
big No izi hela namtafutia nan sasa mimi nitapanga apartment nzuri mjini uko nitajenga taratibu nikiwa mzee pembezoni mwa mji.
Duniani hatujaletwa kuteseka jamaani.
Huyu dogolas bwana yy anakoish ni maeneo nje ya jiji kwasasa kwa mujib wa magufuli ππ..yy anasema anataka kuish quality life sio bora maisha...350,000 ni nyumba kubwa sana hiyo pengine ni vyumba vitatu hata vinne kwa maeneo yetu haya ya tabata, kinyerezi,, gongo la mboto etc.
Kwa 200,000 hadi 250,000 unapata nyumba ya kisasa ya vyumba viwili. Safi kabisa....
MUNGU ametupa akili tuzitumie vema. Kila nyakati zina maamuzi tofauti.Sema sasa nje ya mji kwa sasa utapelekwa mbali mnoo..sio chanika tena ni mkuranga hko au tuseme kigambon ndani ndani hukoo [emoji16]
huyo atakuja kulia ni suala la muda.Huyu dogolas bwana yy anakoish ni maeneo nje ya jiji kwasasa kwa mujib wa magufuli ππ..yy anasema anataka kuish quality life sio bora maisha...
Kupata kiwanja cha kujenga nyumba hasa katika prime area ni changamoto kubwa kwa sisi tunao safiri kuelekea uchumi wa kati. Unakuta pango la mwezi unapokaa ni 350, 000, ukipiga hesabu kwa miaka miwili unaona ni kheri ujenge ya kwako.
Umepata kiwanja kwa milioni 20. Bahati nzuri ulikua na akiba ya milioni 5, benki wakakupa milioni 20 mkopo. Rafiki zangu wengi walichofanya ni kujenga nyumba ya kujistiri nyuma ya kiwanja. Ina basic needs tu na kuhamia.
Mbele ya kiwanja anaweka banda la kuku hawa wa kienyeji na matuta manne ya mchicha. Hapo amepiga mahesabu ya kurudisha mkopo. Watoto wakilalamika wamechoka kula mchicha wanapozwa na kuku. Maharage ndiyo kubadilisha menu.
Sure...ila sasa ndio huwez jenga tena mjini pamejaa labda uendelee kupanga na kubanana nyumba za uswahili hiz kama ww uwezo ni mdogo kitu ambacho binafsi sikukitaka kwa perspective ya malezi bora ya watoto kimaadili na changamoto za hapa na pale.MUNGU ametupa akili tuzitumie vema. Kila nyakati zina maamuzi tofauti.
Wakati hao wanawaza hivyo nje ya mji ilikuwa hapo goba, bunju mbezi, tegeta.
Now nje ya mji ni almost 45+Km one way kutoka town hadi eneo husika, nani anataka kutembea umbali wote huo....
Akhela au kwa Mungu uko ndo kuna moto ndio sehem ya kuteseka kwa hyi binafsi siwezi kuteseka mara mbili dunian na akhela mbinguni/ nimechagua duniani nile maisha mazuri( bata) uko mbele hata nikichomwa moto sio mbayakwamba unabishana na maandiko yaliyo sema siku za mwanadamu aliye zaliwa na.mwanamke ni chache, nazo zimejaa tabu na mateso.
duniani tumeletwa tuhangaike,tuhangaishe kichwa ili kuishi vyema
nitajenga ila kitu kujinyima kuishi vizuri ili nijenge hapana kwa kweli siweziNi wachache sana wanaojenga wakiwaa wanahela kamili mkononi ,Wengi wetu tumeunga unga na kujinyima ndo maana leo tunaitwa baba mwenye nyumba .Mkuu kufa kupo ila ukifa si tunawatoto watarithi .Hivi hujisikii hasra kumpa laki saba ana milioni mtu km kodi huwazi .Pia uhuru unao kua nao kwako hata ukitoka na taulo ama watoto wanacheza kwao.
Hiz habar za kujenga nyumba ndog kwanza halaf et tutajenga kubwa baadae mimi nilishayakataa....unajenga kijumba cha kisela af matokea yke unajikuta unazeekea humo...kwanin usijipe muda tu ukiinuka unainuka mzima mzima?
Ndio yale unakuta mstaafu anajengea nyumba pesa ya pensheni. Si sawa sana sema tu ndio maisha. Binafsi naona ni bora nijenge bangaloo pagare complete nipige bati na kuingia nitai finish taratibu mdogo mdog kuliko kujenga kijumba kidogo na kukipiga finishing huku nina mpango wa kujenga nyumba kubwa baadae hapan
Endelea kujifukiza na kunawa maji tiririka,πsisi wenye miaka 20-25 tunaoishi kwa wazazi mnatushaurije
Kiko wpNjoo nikuuzie kiwanja changu bei poa kabisa