Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

Mlisema mnacheleweshwa na wenye kuona mbali/wenye mawazo mbadala Kwa kuwa Sasa mmesalia na viwavi jeshi pekee acha vile nywele zenu zikiisha watawakuleni nyama🤔
 
Naona matangazo yanayozunguka mitandaoni kuhusu utaratibu mpya wa huduma ambao ni fujo, kero tupu, usumbufu na uonevu wa waziwazi wa wanachama wa mfuko huo.

Ati mtu anapangiwa kwamba haruhusiwi kwenda hospitali zaidi ya mara tatu kwa mwezi, na kwamba eti analazimishwa ahudhurie kituo kimoja tu! Kumbe kwa ufahamu wa NHIF magonjwa yanatii amri ya kwamba ndani ya mwezi mmoja hayatakuja mara 3?

Na huyo ambaye mwaka mzima hajaugua mtamrudishia michango yake? Hivi nikisafiri kikazi Dar to Kigoma na nikaugua huko, sina haki ya kutibiwa hata kama nina kadi ya NHIF? Huu sasa mbona ni ujinga wa kuturudisha nyuma sana?

Mfuko huu umeshindwa kazi, basi na ufutwe, bima iwe hiari watu wajiunge na kampuni watakayochagua wenyewe, na kama na zenyewe zikileta upuuzi huo basi biashara ya bima ya afya ifutwe tu, haya ni mambo ya kuumiza wananchi!

Nauliza, hivi wale wakala wa kudhibiti masuala ya bima (TIRA) hawahusiki na hizi bima za afya? Wako wapi mbona watu tunadhulumiwa mchana kweupe?
 
Watakwiba vipi Sasa wakitoa huru kuchagua bima🏃
 
Inasikitisha!

Binadamu kama siyo kujisahau ilibidi asiwepo yeyote kati yetu anaemlaumu Magufuli kwa yale tuliyohisi ni mabaya kwake,huyu wa sasa kama anaruhusu ujinga kama huu utamkwe hadharani tuseme ana nini?

Upungufu wa akili?maana hii huwezi sema ni mapungufu huu ni uwendawazimu.
 
Kama itakuwa ya kweli, kwa mtazamo wangu itakuwa na mapungufu makubwa sana kwani watakuwa wamejiamulia bila kuwashirikisha wadau muhimu hasa wafanyakazi ambapo ndio wanaoendesha mfuko kwa asilia 100% kupitia michango yao. Suala linalo husu Afya/maisha ya watu, linahitaji mjadala makini bila kujali sana faida /makusanyo; Inatia wasiwasi kama tunao watu sahihi wa kuangalia huo mfuko!!
 
Taarifa rasmi ipo wapi au tetesi TU Bado?
 
Huu ni upuuzi
 
Sio tuu kwamba ni wizi bali ni upuuzi..

Unakuta yenyewe huko kwenye management yameongeza operational costs ambazo ni unnecessary harafu ushenzi wao wanampa mgonjwa.
 
Naunga mkono hoja.
 
wamebeba na hela za mfuko, ndo sasa wanaanza kubana watu kupata huduma kwa mafungu!!!!!!!!!

Ugonjwa ni dharura, imagine kituo kilichopo karibu ni zahanati, unafika utibiwe then ukitaka kwenda kituo cha afya ama hospitali ni mpaka akupatie referral, je hivyo vituo vimewezeshwa kimfumo kufanya rufaa hizo kwa wakati?

Ama upo mkoa fulani umepata dharura hiyo ukienda mkoa mwingine inakuaje?

Maswali ni mengi. Watanzania tuamke, laasivyoo sisi ni wakimbizi kwenye nchi yetu.
 
wamebeba na hela za mfuko, ndo sasa wanaanza kubana watu kupata huduma kwa mafungu!!!!!!!!!

Ugonjwa ni dharura, imagine kituo kilichopo karibu ni zahanati, unafika utibiwe then ukitaka kwenda kituo cha afya ama hospitali ni mpaka akupatie referral, je hivyo vituo vimewezeshwa kimfumo kufanya rufaa hizo kwa wakati?

Ama upo mkoa fulani umepata dharura hiyo ukienda mkoa mwingine inakuaje?

Maswali ni mengi. Watanzania tuamke, laasivyoo sisi ni wakimbizi kwenye nchi yetu
 
Huu ni ushenzi,
Kama naishi Dar na nimeugua nikiwa Tanga ni hadi kibali maakum?
This is rubbish!!!!
 
Washenzi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…