Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlisema mnacheleweshwa na wenye kuona mbali/wenye mawazo mbadala Kwa kuwa Sasa mmesalia na viwavi jeshi pekee acha vile nywele zenu zikiisha watawakuleni nyama🤔Nashangaa viongozi wetu wanajipangia maamuzi yasio natija kabisa leo, eti limetoka tamko kwamba wenye bima wanatakiwa kutibiwa mara tatu tu kwa mwezi. Huu ni upungufu wa akili. Acheni ujinga. Unampangia Mungu mtu kuumwa vip kuhusu wale wenye celebral palsy CP vip kuhusu wale wenye matatizo ya Figo.
Watakwiba vipi Sasa wakitoa huru kuchagua bima🏃Habari za mchana wapendwa.
Habari za kusikitisha - NHIF wamebadilisha mifumo yao ya matumizi ya card.
1- Tegemezi wengi wameondolewa,
2- Card itumike x 3 tu kwa mwezi.
3- Kama umetibiwa Jana au juzi, ukienda hospitali nyingine utatakiwa uende na Referral toka hiyo hospitali ulikotibiwa mara ya mwisho.
Makorokoro kibao yamebadilika. Tunaendelea kuwasikiliza. Ni shida tupu.
HII SIO HAKI MTU ANACHANGIA AFU HUDUMA ANAPANGIWA ATIBIWE KTK KITUO KIMOJA TU KWA MWEZI NA NA MARA TATU TU KWA MWEZ HII SIO HAKI. BASI WATUMISHI WARUHUSIWE KUJIUNGA NA MIFUKO MINGINE ISIWE LAZIMA NHIF ILI AFUATE HUDUMA SEHEMU ANAYOONA INAFAA
Kama itakuwa ya kweli, kwa mtazamo wangu itakuwa na mapungufu makubwa sana kwani watakuwa wamejiamulia bila kuwashirikisha wadau muhimu hasa wafanyakazi ambapo ndio wanaoendesha mfuko kwa asilia 100% kupitia michango yao. Suala linalo husu Afya/maisha ya watu, linahitaji mjadala makini bila kujali sana faida /makusanyo; Inatia wasiwasi kama tunao watu sahihi wa kuangalia huo mfuko!!*TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA
AUTHORISED KWENYE MFUMO*
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia,mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
Taarifa rasmi ipo wapi au tetesi TU Bado?Inasikitisha!
Binadamu kama siyo kujisahau ilibidi asiwepo yeyote kati yetu anaemlaumu Magufuli kwa yale tuliyohisi ni mabaya kwake,huyu wa sasa kama anaruhusu ujinga kama huu utamkwe hadharani tuseme ana nini?
Upungufu wa akili?maana hii huwezi sema ni mapungufu huu ni uwendawazimu.
Huu ni upuuzi*TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA
AUTHORISED KWENYE MFUMO*
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia,mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
Sio tuu kwamba ni wizi bali ni upuuzi..Habari za mchana wapendwa.
Habari za kusikitisha - NHIF wamebadilisha mifumo yao ya matumizi ya card.
1- Tegemezi wengi wameondolewa,
2- Card itumike x 3 tu kwa mwezi.
3- Kama umetibiwa Jana au juzi, ukienda hospitali nyingine utatakiwa uende na Referral toka hiyo hospitali ulikotibiwa mara ya mwisho.
Makorokoro kibao yamebadilika. Tunaendelea kuwasikiliza. Ni shida tupu.
HII SIO HAKI MTU ANACHANGIA AFU HUDUMA ANAPANGIWA ATIBIWE KTK KITUO KIMOJA TU KWA MWEZI NA NA MARA TATU TU KWA MWEZ HII SIO HAKI. BASI WATUMISHI WARUHUSIWE KUJIUNGA NA MIFUKO MINGINE ISIWE LAZIMA NHIF ILI AFUATE HUDUMA SEHEMU ANAYOONA INAFAA
Naunga mkono hoja.Naona matangazo yanayozunguka mitandaoni kuhusu utaratibu mpya wa huduma ambao ni fujo, kero tupu, usumbufu na uonevu wa waziwazi wa wanachama wa mfuko huo. Ati mtu anapangiwa kwamba haruhusiwi kwenda hospitali zaidi ya mara tatu kwa mwezi, na kwamba eti analazimishwa ahudhurie kituo kimoja tu! Kumbe kwa ufahamu wa NHIF magonjwa yanatii amri ya kwamba ndani ya mwezi mmoja hayatakuja mara 3? Na huyo ambaye mwaka mzima hajaugua mtamrudishia michango yake? Hivi nikisafiri kikazi Dar to Kigoma na nikaugua huko, sina haki ya kutibiwa hata kama nina kadi ya NHIF? Huu sasa mbona ni ujinga wa kuturudisha nyuma sana?
Mfuko huu umeshindwa kazi, basi na ufutwe, bima iwe hiari watu wajiunge na kampuni watakayochagua wenyewe, na kama na zenyewe zikileta upuuzi huo basi biashara ya bima ya afya ifutwe tu, haya ni mambo ya kuumiza wananchi!
Nauliza, hivi wale wakala wa kudhibiti masuala ya bima (TIRA) hawahusiki na hizi bima za afya? Wako wapi mbona watu tunadhulumiwa mchana kweupe?
Ukimaanisha hii taarifa ipuuzwe ni ya kipuuzi au?Huu ni upuuzi
Hao NHIF ni wapuuziUkimaanisha hii taarifa ipuuzwe ni ya kipuuzi au?
wamebeba na hela za mfuko, ndo sasa wanaanza kubana watu kupata huduma kwa mafungu!!!!!!!!!*TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA
AUTHORISED KWENYE MFUMO*
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia,mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
wamebeba na hela za mfuko, ndo sasa wanaanza kubana watu kupata huduma kwa mafungu!!!!!!!!!Naona matangazo yanayozunguka mitandaoni kuhusu utaratibu mpya wa huduma ambao ni fujo, kero tupu, usumbufu na uonevu wa waziwazi wa wanachama wa mfuko huo. Ati mtu anapangiwa kwamba haruhusiwi kwenda hospitali zaidi ya mara tatu kwa mwezi, na kwamba eti analazimishwa ahudhurie kituo kimoja tu! Kumbe kwa ufahamu wa NHIF magonjwa yanatii amri ya kwamba ndani ya mwezi mmoja hayatakuja mara 3? Na huyo ambaye mwaka mzima hajaugua mtamrudishia michango yake? Hivi nikisafiri kikazi Dar to Kigoma na nikaugua huko, sina haki ya kutibiwa hata kama nina kadi ya NHIF? Huu sasa mbona ni ujinga wa kuturudisha nyuma sana?
Mfuko huu umeshindwa kazi, basi na ufutwe, bima iwe hiari watu wajiunge na kampuni watakayochagua wenyewe, na kama na zenyewe zikileta upuuzi huo basi biashara ya bima ya afya ifutwe tu, haya ni mambo ya kuumiza wananchi!
Nauliza, hivi wale wakala wa kudhibiti masuala ya bima (TIRA) hawahusiki na hizi bima za afya? Wako wapi mbona watu tunadhulumiwa mchana kweupe?
Huu ni ushenzi,*TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA
AUTHORISED KWENYE MFUMO*
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia kuhama Kituo cha kutolea huduma(Hosp,H/na disp) moja kwenda nyingine kwa kujiamulia,mfano mgonjwa akianza kutibiwa Kituo X basi atakua wa X tu mpaka pale X tutakapo amua sisi mrefer mgonjwa kwenda sehemu nyingine la sivyo mgonjwa hataweza kwenda sehemu nyingine ,kama kuna emergency kutakua kuna utaratibu kwenye mfumo wa kuruhusu huduma ziendelee
Aidha mfuko utaweka pia utaratibu wa wale wagonjwa ambao ni wa refill ili kama amekuja kwa ajili ya refill asiweze kuchomekea kitu kingine cha kimatibabu
Kwa huduma za physio, meno kutawekwa utaratibu maalumu ili huduma kama hizo ziendelee
Mfuko unataka kubana wale wa watu wanaozunguka kila kituo kufanya vipimo, kuona madaktari na kulinganisha huduma za madaktari
Ni hayo tu ndugu zangu,muwe ka kazi njema.
Watu wa mapokezi mutakua munawaelekeza kwa upole wateja ambao kadi zao zimepata changamoto hizo.
NHIF.
Washenzi!!!wamebeba na hela za mfuko, ndo sasa wanaanza kubana watu kupata huduma kwa mafungu!!!!!!!!!
Ugonjwa ni dharura, imagine kituo kilichopo karibu ni zahanati, unafika utibiwe then ukitaka kwenda kituo cha afya ama hospitali ni mpaka akupatie referral, je hivyo vituo vimewezeshwa kimfumo kufanya rufaa hizo kwa wakati?
Ama upo mkoa fulani umepata dharura hiyo ukienda mkoa mwingine inakuaje?
Maswali ni mengi. Watanzania tuamke, laasivyoo sisi ni wakimbizi kwenye nchi yetu