Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Ilikuwaje hii issue?Bilashaka MCT wameingilia kati kwasababu ya kesi ya Dr.Mavula na mgonjwa wa thyrodectomy.Nahisi tu lakini.
Tusio ijua tupe intro kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwaje hii issue?Bilashaka MCT wameingilia kati kwasababu ya kesi ya Dr.Mavula na mgonjwa wa thyrodectomy.Nahisi tu lakini.
Kuna watu kazi zao zina sababisha wasafiri sana kikazi.
Kitonka mara 1000 zaidiWacha tukachague hospital zenye hadhi basi ili wawe wanapapaswa vizuri hamna kwenda kule kwa wakulima.
Hapa gongo la mboto nafanya utafiti kati ya rugambwa au kitonka nikite kambi wapi.
... helpless and hopelessWe have toothless President!
Wamesema kwenye kituo kimoja ndani ya mwezi, wakati Kuna watu wanasafiri kila wiki. Na hata hivyo kwa nn mara 3?? Mimi najuaje kamaa nitaumwa mara 4 au 5??Ndyo maana ikawekwa mara tatu mkuu kwa mwezi, au hakijaeleweka Nini?
Kusafiri hovyo? Madereva wa mabus wao nao wanasafiri hovyo?
Kama nia ni kudhibiti kwenda different hospital kwa tatizo moja inatakiwa mfumo uonyeshe kuwa huyu katibiwa kituo A na doctor atamchukua maelezo kwanini kaja kituo B kwa same problem then ataamua kumrudisha kwa doctor wake kufata referral letter na sio huu ujinga kumtangazia mwananchi kuwa anapaswa kwenda hospital mara 3 kwa mwezi.AAR na STRATEGIES wateja wao huwa hawana tabia za kujirudia rudia kwenye vituo vya afya kupata huduma,, ila NHIF leo yupo hapa, kesho pale, kesho kutwa huku, ndyo maana wameamua kuwadhiti, hata wewe jiulize ndugu yangu, mtu hata dose hii hajamaliza kashahamia kwingine, huko nako hajamaliza dose aliyopewa kaenda kwingine, unakuta mtu mmoja kahudhuria mara 10 au zaidi vituo vya afya kwa mwezi!
NSSF wao huo utaratibu wa kutibiwa kituo kimoja tu na mara 3 wanao muda mrefu Sana, wateja wao hawasumbui washazoea.
Kwa Sasa kinachowafavour AAR na STRATEGIES, wao hawanalimit nyingi hasa upande wa dawa na vipimo, kwa hyo unaweza tibiwa vizur ukakaa Zaid ya miezi 3 hospital hupajui!
Ila Kuna viashiria nmeviona juzi juzi ndyo maana nasema Ni suala la muda huko kwao
Mbonà unakuwa takataka kila kunavyokuchaPutin anaikomesha.dunia kwa kweli
Huenda wanamtaka atibiwe kabla ya kuugua.Kuna watu kazi zao zina sababisha wasafiri sana kikazi.
Vipi kuhusu dereva kwa mfano?
Hawa ni rubbish kabisa, unanipangia hela yangu! Mbuzi kabisa!We have toothless President!
Mnyika anatumia usafiri wa BajajMbonà unakuwa takataka kila kunavyokucha
Hasira za kuachika na njemba iliyokuwa ikikugegedua kisawasawa.Mnyika anatumia usafiri wa Bajaj
Mkuu, mfumo upo, taarifa za wagonjwa zinakuwa submitted kwenye mfumoKama nia ni kudhibiti kwenda different hospital kwa tatizo moja inatakiwa mfumo uonyeshe kuwa huyu katibiwa kituo A na doctor atamchukua maelezo kwanini kaja kituo B kwa same problem then ataamua kumrudisha kwa doctor wake kufata referral letter na sio huu ujinga kumtangazia mwananchi kuwa anapaswa kwenda hospital mara 3 kwa mwezi.
Tatizo hapa nimegundua watu wenu wa Tehama ni bongolala hawataki kuumiza vichwa na kuweka mfumo utakaoonyesha taarifa kamili za awali za mgonjwa kabla hajaanza kuhudumiwa kwenye kituo B.