Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

Na sasa kafa harudi tena na tuko na samiah
 
Magufuli alishakufa, kuzikwa na kuoza, wewe bado unampambania nini sasa?

Ndugu nakushauri sasa anza kupambania maisha yako kwanza, hayo ya kupambania wafu hayatakusaidia kitu, utajichosha bure.
WE hujabomolewa kibanda kwel😂😂, watu wanajifanyaga wanapambana kumbe njaa kali tuu
 
Naantombe Mushi

Jitombashisha

@jidulamumbasi

Naantombae Moshi..

Ngangambafu ngongondingondingo chichiyemu ya baba na Mama hii...

Ukichimba nchale na ukikaa nchale
 

Ww una uchungu na yule dhalimu kwani ulikuwa mchepuko wake? Alikuwa anapigania maslahi gani ya taifa, hakuna maslahi ya taifa yanayopiganiwa na jizi la kura. Alikuwa rais bora kwako maana ww ulikuwa kwenye lile kundi lake la watu wasiojulikana.
 
Upo sahihi
 

Kwani kile chama ambacho kauli mbiu ni "hapa kazi tu" mmefikia nacho wapi 😁😁?
 
Pamoja na yote hayo kashiriki ujenzi wa barabara karibia zote zilizounganisha nchi ambayo unatumia wewe.

Hata mimi ningekuwa na madaraka bado ningejenga barabara tena zenye ubora kuliko za kwake, na nisingeendekeza siasa chafu. Labda useme alijenga hizo barabara substandard kwa mshahara wake.
 
Tuambie huyo shujaa wako kapeleka wap 1.5t. Alikuwa mwiz na mshenz, mkabila,mbabe wa kijinga
 
Shetani katika ubora wake
 
Kwi Kwi Kwi !
 
Kwanza JF hairuhusu matusi, posti zenye matusi hufutwa na watukanaji hupigwa ban.
 
Dikteta kichaa alijichafua mwenyewe
 
Magufuli alishakufa, kuzikwa na kuoza, wewe bado unampambania nini sasa?

Ndugu nakushauri sasa anza kupambania maisha yako kwanza, hayo ya kupambania wafu hayatakusaidia kitu, utajichosha bure.
Hampambanii ,ispokuwa hataki mchezo wa kingese unaoendelea
 
Mkuu umenena vyema. Sie tunawaangalia tu.
 
Wacha kipasuke tu
 
Mbona nyie mlimtukana kikwete na hatukusema malipo ni hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…