Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

Acha kupasuke tuu tutakiynga na R.dite au silcon
 
Kama mama au shemeji yako alifukuzwa kazi kisa cheti fake na mlikua mnamtegemea ukoo wenu, kwa nini usimuone Magu ni shetani?

Kawanyoosha kiukweli...
Apumzike kwa amani shujaa.. RIP JPM
Ukichukia chukua jembe upalilie bustani...
Amejinyoosha yeye mwenyewe na alivyovikamia kaviacha .
 
Magufuli ndo alikuwa bingwa wa kuwatukana watangulizi wake mara aseme " wanawashwa" Huku akina Musiba wakimtukana wamtakae na walikuwa hawagusiki haswa,,,Acha na yeye atukanwe natamani angekuwepo asikie
Kusema wanawashwa washwa ni tusi kwani?
 
kwan ccm ikifa kuna tatizo? Ikipasuka vipande hata buku kuna tatizo gani? Mi siwez kulia kwa hill
 
Hela alizitafuta yeye? Ye kapewa urais kaenda kugombana na wahisani
Hela kwani zilianza kupatikana leo. Sababu za yeye kushiriki kusimamia ujenzi ni kwamba anaweza. Utaishi kutegemea wahisani Hadi lini, huwezi kuvumilia Unyonyaji unaoona ni dhahiri Kisa unategemea wahisani.Aliyesema mtegemea cha nduguye hufa maskini siyo Magufuli
 
Tuambie huyo shujaa wako kapeleka wap 1.5t. Alikuwa mwiz na mshenz, mkabila,mbabe wa kijinga
Kaangalie kwenye kaburi lake ukiikuta chukua, kama hujaikuta itakuwa inajenga taifa
 
Hata mimi ningekuwa na madaraka bado ningejenga barabara tena zenye ubora kuliko za kwake, na nisingeendekeza siasa chafu. Labda useme alijenga hizo barabara substandard kwa mshahara wake.
Ndo hivyo hujajenga sasa subiria muda wako wa kujengwa ukifika ujenge hizo za standard unazitegemea. Kwa sasa tumia hizo unazoona Zina ubora wa chini. Kwahiyo ulitegemea barabara zikusubiria wewe kutoka kusikojulikana?
 
Mkuu niruhusu nitumie maneno yote isipokuwa hapo chini kwenye paragraph ya mwisho,
JPM is THE HERO MAN,

Wala halina ubishi, alitaka kuifanya tz kuwa nchi mpya, alitaka kutengeneza kizazi kinachoipenda nchi yake, alitaka kuifanya nchi kujitegemea kwa kila kitu, Ni dhambi kubwa Tena wakati mwingine Ni upumbavu kuomba msaada kwa kile kitu ulicho na uwezo nacho,

Sasa tazama nw days tunaomba mpka kujengewa hospital, et mpka umeme!! Halafu tunatoa na amri kabisa zisiliwe,shame to us, tukubali tu kunamahali fuez imechoko,

Kwa kizaz hiki, hatutaweza kuwa na The man who can make decision for the benefits of his citizens.. waliopo wengi wanaangalia tumbo na kupeana vyeo, halafu unajiuliza et mtu mkamba Nae wazr.... Duh aya bhana ngoja tuone
 

Hizi propaganda mfu tuna uwezo wa kuzichanganua na sio jinsi mnavyotaka tuelewe. Kama unadhani kila mtu aliamini sifa za kijinga alizokuwa anamwagiwa basi umeukalia. Alikuwa dhalimu na mlevi wa madaraka fullstop.
 
Ndo hivyo hujajenga sasa subiria muda wako wa kujengwa ukifika ujenge hizo za standard unazitegemea. Kwa sasa tumia hizo unazoona Zina ubora wa chini. Kwahiyo ulitegemea barabara zikusubiria wewe kutoka kusikojulikana?

Barabara nchi hii zimejengwa toka enzi za ukoloni, hivyo hatuoni haja ya sifa za kijinga eti kuna mtu kazijenga, wakati ni fedha za umma na sio hela za peasant yoyote.
 
Barabara nchi hii zimejengwa toka enzi za ukoloni, hivyo hatuoni haja ya sifa za kijinga eti kuna mtu kazijenga, wakati ni fedha za umma na sio hela za peasant yoyote.
Onyesha takwimu hizo barabara zilizojengwa kabla ya Magufuli kuwa waziri na barabara zilizojengwa akiwa waziri+ Akiwa rais
 
Unapambania mzoga uliokwisha liwa na funza? Vumilieni kama wao walivyovumilia matusi ya yule shoga Musiba. Sisi wengine kwetu ni vicheko tu mafisi mnavyoparurana, ingependeza zaidi mkauana kabisa ili Taifa letu lipone. Mashetani wakubwa nyie.
 
.
 
wasukuma hamna lenu kwa sasa,hata siasa hamjui, mjomba wenu alikuwa mwalimu wa kemia hakuwa mwanasiasa na ndo maana hakuweza kucheza mchezo wa kisiasa matokeo yake siasa ikashughulika nae.

Siasa haitaki hasira.
tulieni wasukuma nyambaafu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…