Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Wanaume wana maudhi yao lkn tutapambana nao mpaka kieleweke
 
Shida kubwa wanaume wamepungua, hapa na maanisha walio left group(mapunga) na wale wala chipsi yai nguvu hakuna, ili kufidia nafasi ndio wadada wana sagana kwa kasi , hii hali haiwezi pungua itaongezeka maradafu miaka ijayo
bado hujatoa sababu ya maana tumia ubongo wako vizuri
 
Sababu ya kwanza kuenea haya mambo ni utandawazi . ( hasa teknolojia ya habari na mawasiliano) hutumika kushawishi , kueneza, na hata kuweka hadharani
2. Jambo la pili ni matatizo ya kijinsia. Wanawake wanaozaliwa na homoni za kiume huchochea jambo.
3. Inaweza kuwa sababu ya matatizo ya kimahusian
4. Inaweza.kuwa tamaa n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…