Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Hivi unazijua hizi K za toleo jipya Mkuu? Zina mengi yasiyozitosheleza.

Usagaji na Ushoga kwa watu maarufu wengi wanatimiza Ibada za kuzimu. Wasanii wengi, wengi sana kwa mfano, Wana practice hii kitu.
Hakuna ibada zozote za sehemu inayo itwa "kuzimu" zinazofanya watu wasagane.

Tamaa na njaa ndio husababisha watu wasagane.
 
Tatizo la ushoga na usagaji linasababishwa na kuendekeza tamaa,njaa na umasikini tu,vinginevyo ni vigumu sana mtu kumtamani wa jinsia yake pasipo na sababu yoyote ile,
Msisahau wakati wa kulea watoto wenu muwaambie kiwa Weekness ni mtaji
 
Nina swali kwako wewe dada, mwanamke mwenzako akikutongoza huwa mnaomba hela?
 
Sister Abigail ana hoja asikilizwe.

Kuumizwa na mahusiano inaweza kuwa moja ya sababu inayochangia mtu kuingia kwenye hiyo michezo.
Binti kama amekuwa akilizwa kwenye mahusiano, halafu akakutana na msagaji akamrubuni huyu, huyu binti asipokuwa na msimamo uwezekano ni rahisi kuteteleka.
 
Asante.shida wanaonipinga ni wanae,hawaelewi kitu
 
Martha Mwaipaja
 
Sijawahi kudate mwanamke mwenzangu,so Sina jibu.kawafate unaowajua wanadate mwanmke Kwa mwanmke watakujibu jibu zuri iam sure
Nimeuliza sababu hata wewe umesema ulishatamani kusagana ndo nikauliza hata wasaganaji mnaombana hela?
Sina wa kumuuliza mwingine labda ajitokeze msagaji humu jf atoe majibu.
 
Hapa umesema kweli lakini imeelekeza lawama sehemu isiyo sahihi chanzo cha yote ni udanganyifu wa shetani na tamaa za mtu mwenyewe sababu inaweza kuwa wanaume lakini pia inaweza kuwa wanawake wenyewe kudanganyika
 
Wadada hawakutongozi inbox kwasababu huposti picha nzuri za kujionesha utanashati wako.
Uliza uambiwe, wanawake wanajitongozesha sana inbox, wewe anza kuposti picha nzuri uone, sio tu wadada hadi wanaume wezako watakufuata inbox

Ukitaka ujue mapenzi ya jinsia moja yapo au hayapo, waulize wanojiposti uzuri wao mitandaoni, warembo na watanashati wote wa kike na kiume watakumbia kuwa inbox wanatongozwa na watu wa jinsia zote bila kujalinwao ni jinsia gani.

Hiyo homosexuality ni jambo la ajabu tukiongea hivi hadharani na kweupe, ila laiti haya majumba ya Dar na vitanda vyake vingjua kuongea watubwanafanya ndani mwake tungesema kweli hatujui.
 
Waliposema kua uyaone, sio magorofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…