Hii tabia ya usagaji miaka hii imeanza kuwakumba wadada wengi

Warumi 1
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;

27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
 
Hujanielewa.nimesema ni chanzo kimojawapo kinachangia.lakini sio general kwamba Kila msagaji ni WA kuumizwa,wengine kama sababu ulizotaja wapo..ama mashoga wana vyanzo vingapi mpaka unakuta kijana mzuri anakuwa shoga?
Hao mashoga wengi wamezaliwa wakiwa na matatizo ya homoni kama ilivyo kwa baadhi ya wasagaji hadi wenginge wanaitwa "tom boy" wengine wengi ni tamaa za maisha mazuri bila kutoa jasho
 
Wanaume mkipewa muwe mnaifanyia kazi vizuri, mi ninachoona ni kuwa wasagaji wengi wao wapo huru kwa wasagaji wenzio na hii inapelekea kila mmoja kuridhika na huko kukoboana ndio maana wakianza hawaachi.

NB: Mwanaume ukisikia mdada ana BFF wake ujue unaibiwa.
 
Hawa wa fb ni wamenifata zaidi ya wanne wengine nawajua wengine siwajui..Ila nilichunguza chanzo kikubwa ni
Kuendekeza na kufata mkumbo
Ila pia malezi
Wazazi fatilieni watoto wenu
Mtoto wa kike akianza huu mchezo sio rahisi kumgundua..
Ila jamani mbo* ilivyo Tamu vile unaanzaje kumuwaza mwanamke mwenzio
 
Naona umeanza kashifa za rejareja kwa kipenzi chetu watanganyika Samia Hassan Mwinyi🤫🤫🤫
 
Vyote vina madhara...yaani vyotee
Tumia akili wewe zuzu usagaji ni bora hata kuliko punyeto kwa wanaume sembuse ushoga ?🙄👏 ushoga unaua kizazi kabisa cha binadamu ni hatari sana....huu ndiyo mtiririko wa ubaya kwanza kabisa kwa ubaya ni
1)ushoga
2)punyeto kwa wanaume
3)punyeto kwa wanawake
4)usagaji

Tazama hapo usagaji ndiyo wenye madhara duni kuliko vyote.....unaweza kushangaa kwanini punyeto ina madhara kuliko usagaji ? Tumieni akili.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…