Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

Ashaliwa huyo tayar... That means wale wa mwanzo walivyo mfanyia hivyo wakafanikiwa kumla, waka tangazia wengine kwamba mzungu ni mama huruma hana baya ukimkuna tu utamla....
 
Ashaliwa huyo tayar... That means wale wa mwanzo walivyo mfanyia hivyo wakafanikiwa kumla, waka tangazia wengine kwamba mzungu ni mama huruma hana baya ukimkuna tu utamla....
Angalia na hili.
 
Sasa wewe unageneralise wanaume wote badala ya kuwaambia hao waliofanya hicho kitendo? Ni vizuri ukaanza kubadilika wewe maana maelezo yako yanaonesha kuwa wewe pia unatabia hiyo ndo maana usema tubadilikeni
 
Mkuu Sasa umeandika nini? Haya badilikeni basi.
 
Feminism and lesbianism at its best.

Na wewe hawapaswi kushika huo mkono wako uliojaa uovu kwa kusagana. Unaonuka nya na mikucha yako.

Kusalimiana kwa mikono ni ustaarabu unaopitwa na wakati ila si kwa kinyaa chako mpuuzi wewe.
 
Badilika wewe na wahuni wenzio, sisi hata kwa wake zetu hatufanyi hivyo.
 
Kwa hiyo Mtasha kawasilimulia kakunwa mkono...daah
Yani alishangaa sana. Na jamaa yake akuwaficha waliomkuna mkono kwasababu mtasha alimueleza wote. Na atasimulia sana. Na huyu mtasha kasafiri Dubai, Qatar na misri anadai wanaume wa misri nao wanasumbua sumbua sana watalii wanawake hadi wana feel uncomfortable. Lakini anawasifia sana wanaume wa emirati na Dubei na Qatar jinsi walivyo na heshima wakiwa na wanawake.

Anadai wa misri sharm el sheikh ma tour guide wana grope kushika shika watalii wa kike sana.
 
Feminism and lesbianism at its best.

Na wewe hawapaswi kushika huo mkono wako uliojaa uovu kwa kusagana. Unaonuka nya na mikucha yako.

Kusalimiana kwa mikono ni ustaarabu unaopitwa na wakati ila si kwa kinyaa chako mpuuzi wewe..
Jaman,mbona umemrukia na huyu tena? Huyu dada mstaarabu sana mbona.daa
 
Jaman,mbona umemrukia na huyu tena? Huyu dada mstaarabu sana mbona.daa
Hujaona alivyotupondea wanaume? Kwani asingeeleweka kwa kusema hapendi kushikwa mikono kwa kuhofia uchafu? Kulikuwa na sababu ya kuhusisha kushika dudu?

Sisi tukisema naye anasagana na kuja kushika mikono ya wanaume bila kunawa ni kosa kwani?
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…