Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

Braza kwa haya maelezo uyu mzungu ni demu wako. Poleni wewe na demu wako kwa kukunwa mikono 🤣... yaan unamuelezea in details we third part gan uwe na maelezo yote haya bwana!!
 
kukunwa mkono tu anamaind siku akisaidiwa kukuna kikojoleo siatajinyonga

sema tubadilike unakuta mtu unamuheshimu vizuri tu kumbe anatabia zakiwaki kama hizi
 
Hujaona alivyotupondea wanaume? Kwani asingeeleweka kwa kusema hapendi kushikwa mikono kwa kuhofia uchafu? Kulikuwa na sababu ya kuhusisha kushika dudu?

Sisi tukisema naye anasagana na kuja kushika mikono ya wanaume bila kunawa ni kosa kwani?
Bora angesema dudu yaan kasema KIDUDE kweli!!!!! To yeye
 
To yeye umeona balaa. Ndo mana anaita KIDUDE
 
Hiyo ni tabia mbovu na ni kosa la jinai kabisa, yaani Unyanyasaji wa Kingono (Sexual Harassment) na hata inaweza kuwa ni shambulio la kingono (sexual assault).

Mtu akikutwa na hatia anaweza kufungwa jela kwa muda usiozidi miaka 5.

Mungu akitupa uzima, mwezi huu tarehe 24 au 25 nitafundisha kuhusu unyanyasaji wa kingono. STAY TUNED
 
Tunasubiri mkuu na nitakukumbusha ukisahau iyo tarehe. Usisahau kuni tag
 
Salamu huwa zinapoteza muda,kusalimiana kwa kushikana mikono ni uchafu ila basi tu,tamaduni za ajabu sana..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Una kinyaa kweli yaan......unaweza tawaza mtoto nikugaie mmoja na wako wawe Wawili?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akiwa mchanga sawa ila kuanzia miaka miwili siwezi [emoji119]
 
Feminism and lesbianism at its best.

Na wewe hawapaswi kushika huo mkono wako uliojaa uovu kwa kusagana. Unaonuka nya na mikucha yako.

Kusalimiana kwa mikono ni ustaarabu unaopitwa na wakati ila si kwa kinyaa chako mpuuzi wewe.
Una kichaa??
Tafuta matibabu acha kuparamia watu usiowajua [emoji732]️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…