Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Uko sawa hata mi sipeani mikono.. Maana kuna tabia za watu kuji kuna mbupu na somewhere.. Afu unajisahau ule mikono uliosalimiana nae unajishika mdomoni🤣🤣.. WtfNilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Pamoja mkuuTunasubiri mkuu na nitakukumbusha ukisahau iyo tarehe. Usisahau kuni tag
😁😁😁 wewe mjanja sana, natamani mtoto wangu wa kike aje kuwa hivi.Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Bora mdada akukune ww men ujue anataka hogo ila sio wewe uanze.Kuna wadada pia wanatabia hzo ukiwapa mkono wanakukuna yana tafrani
Kushikana shikana mikono si poa.Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.
Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.
Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.
Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.
Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.
Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.
Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.
Acha kabisa kuna kujikuna mbupu na kuna wale wanapenga makamasi halafu anajifuta kwenye suruali, unakutana nae anakupa mkono, dooh! [emoji1785][emoji119]Uko sawa hata mi sipeani mikono.. Maana kuna tabia za watu kuji kuna mbupu na somewhere.. Afu unajisahau ule mikono uliosalimiana nae unajishika mdomoni[emoji1787][emoji1787].. Wtf
Mfundishe tu mapema ajue kushikana mikono hapana,[emoji16][emoji16][emoji16] wewe mjanja sana, natamani mtoto wangu wa kike aje kuwa hivi.
Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Mbona mnalinyonya kwa mdomo ?!Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Lisagaji ndiyo tena linajisifu, pitia humu
Confession: Lesbianism inaniweka mbali na Jamii, nifanyaje niache
Salaam wote, Mimi ni Mwanamke mrembo, kimuonekano huwezi nijua kama nashiriki mapenzi ya jinsi moja, Nilijigundua hali hii nikiwa na umri wa miaka 10, nilikua na kiss na kushikana shikana na jirani yangu wa kike yeye akiwa na umri wa miaka 12, Tabia hii imeendelea na kua sugu hadi sasa...www.jamiiforums.com
Sawa nimeupokea ushauri.Mfundishe tu mapema ajue kushikana mikono hapana,
Magonjwa ni mengi pia tunashauriwa tukirudi nyumbani baada ya mizunguko yote cha kwanza ni kunawa mikono na sabuni kwa maji tiririka, tunashika vingi huko njiani.
Ikatungiwe sheria bungeni harakaKuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.
Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.
Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.
Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.
Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.
Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.
Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.
Akili nyingi sana 😆Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],
Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]