Hii tabia ya wanaume kukuna mkono wa mwanamke akisalimiana ni aibu tubadilikeni

Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],

Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Uko sawa hata mi sipeani mikono.. Maana kuna tabia za watu kuji kuna mbupu na somewhere.. Afu unajisahau ule mikono uliosalimiana nae unajishika mdomoni🤣🤣.. Wtf
 
Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],

Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
😁😁😁 wewe mjanja sana, natamani mtoto wangu wa kike aje kuwa hivi.
 
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.

Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.

Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.

Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.

Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.

Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.

Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.
Kushikana shikana mikono si poa.
 
Uko sawa hata mi sipeani mikono.. Maana kuna tabia za watu kuji kuna mbupu na somewhere.. Afu unajisahau ule mikono uliosalimiana nae unajishika mdomoni[emoji1787][emoji1787].. Wtf
Acha kabisa kuna kujikuna mbupu na kuna wale wanapenga makamasi halafu anajifuta kwenye suruali, unakutana nae anakupa mkono, dooh! [emoji1785][emoji119]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe mjanja sana, natamani mtoto wangu wa kike aje kuwa hivi.
Mfundishe tu mapema ajue kushikana mikono hapana,
Magonjwa ni mengi pia tunashauriwa tukirudi nyumbani baada ya mizunguko yote cha kwanza ni kunawa mikono na sabuni kwa maji tiririka, tunashika vingi huko njiani.
 
Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],

Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]

Ila kutuma salam kama kawaida.. bbj
 
Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],

Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Mbona mnalinyonya kwa mdomo ?!
 
Lisagaji ndiyo tena linajisifu, pitia humu

Kumbe ni upinde… ndio maana fuse za ubongo zimelegea
 
Wabongo wana tabia za hivyo wao wanawaza ngono mda wote ,binafsi huwa sipendi hii tabia na huwa sihisi chochote,zaidi ya kukuona mshamba
Mtu unayejiheshimu huwezi kupewa mkono alafu ukaanza kuukuna kuukuna kuna,stupid!
 
Mfundishe tu mapema ajue kushikana mikono hapana,
Magonjwa ni mengi pia tunashauriwa tukirudi nyumbani baada ya mizunguko yote cha kwanza ni kunawa mikono na sabuni kwa maji tiririka, tunashika vingi huko njiani.
Sawa nimeupokea ushauri.
 
Kuna jamaa demu wake mzungu wamekuja naye kutoka Marekani likizo Tanzania.

Yani kila mwanaume demu akisalimiana naye kwa mkono na kutambulishwa anakunwa kiganja.

Iwe vijana, makamo hadi wazee. Hadi ikafikia demu hatoi mkono wakati wa salamu.

Demu alifadhaika sana akamuliza jamaa yake what does that mean? I have never seen and experience such an annoying character like this i just feel uncomfortable. Jamaa yake alikasirika sana.

Hadi masela wa jamaa nao walikuwa wanakuna tu kiganja cha huyo demu.

Waswahili tubadilikeni hii tabia siyo nzuri ni aibu na inakushushia heshima. Siyo ngumu mtu kujiheshimu nakucontrol hisia zako.

Na hii tabia imetamalaki sana kwenye jamii zetu.
Ikatungiwe sheria bungeni haraka
 
One dei manzi wangu alikuja home, sasa bro wangu hamfaham katika kusalimiana wakashake mikono, siku nyingine kabisa dem akaniuliza hivi yule kakaako ananiniii mbona sikuile alinikuna kiganja? Dah, nilim mind bro kinoma. Siyo tabia nzuri kwakweli.
 
Nilivyokua na kinyaa siwezi kushake hands na mwanaume, hua nawaza pengine katoka kukojoa huko kajishika kadude kake hata kunawa hajanawa [emoji2961],

Akilazimisha kuleta kono lake nakunja ngumi nampa tano na hapo lazima nijifute na sanitizer [emoji40]
Akili nyingi sana 😆
 
Mimi nilijua baada ya Covid19 watu wameacha kusalimiana kwa kushikana mikono, kumbe bado wapo watu wanashikana mikono!

Kusalimiana kwa kushikana mikono hakufai hata kabla ya Covid19, sema tu ilikuwa ukikataa kutoa mkono unaonekana unaringa, ila hakuna sababu ya kusalimiana kwa kushikana mikono ili kulinda afya zetu maana watu wanashika vitu mbalimbali na hawanawi!
 
Back
Top Bottom