Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Huyo jamaa yako naye inaonekana Hana Mipango yoyote kwenye maisha yake, yupo Yupo Tu. 🤣🤣Inawezekana mtaani kuna lundo la wanawake ambao wanapitia stress nyingi za kukosa permanent relationship..... Kuna mshikaji wangu nlisoma naye A level, jamaa ana maisha ya kawaida.
Ila ameshazaa na wanawake watatu tofauti, watoto wawili tuu ndo amewatambulisha kwao, mtoto mmoja imebidi amfishe kuepuka aibu nyumbani. Cha ajabu zaidi jamaa anasema katika hao wote watatu hajaona wa kuoa, anasema wote ni kama walimtegeshea, kwa kumdanganya wa safe kumbe wana mipango yao
Wife alimwambia tupo grid ya taifa 😊😁😀Ee,nimchape vibao Hadi akuogope🤣🤣
Au ningemwambia tunameza njugu.
NB. Sijawai date wanawake wembamba/ vimbau mbau akanambia kama KAWAIDA Yako unapenda watu WALIO jazia wenye nyama nyamaEe,nimchape vibao Hadi akuogope🤣🤣
Au ningemwambia tunameza njugu.
Hii ni notion tu lakini idadi ya wanaume na wanawake ni almost equal.Idadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake...
Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote...
So do the maths...
True,Huyo kisebengo wako wa nje anamwambia mwenzake wa ndani hayo maneno sababu si yeye aliyeolewa, angekuwa yeye ndio mke wa ndoa chances are angefanya same same.
Waoneeni huruma wanawake zetu, nadhani sio jambo jepesi kujua mume ana mwanamke mwingine nje.
Huu ndio ule UNAO itwa ukatili wa US & Israel ukatili KULE IraniSioni sababu ya kutumia nguvu kwa mume na mchepuko.
Unapiga kimya unauguza kidonda, ukishapona unamuacha mume aanze kuisoma namba
Hoja ya kwanza umeitoa wapi mkuu? Angalau hoja yapili inaweza kuwa sahihiIdadi ya wanaume ni ndogo kuliko wanawake...
Idadi ya wanaume wanaoweza kuhudumia wanawake ni chache kuliko idadi ya wanaume wote...
So do the maths...
Daaaah🤣🤣🤣🤣,mkeo mtu poa sana.NB. Sijawai date wanawake wembamba/ vimbau mbau akanambia kama KAWAIDA Yako unapenda watu WALIO jazia wenye nyama nyama
Huyo kaka yako hajitambuiKumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
🤣🤣🤣🤣🤣,akavurugwa?Wife alimwambia tupo grid ya taifa 😊😁😀
Sio mchezo akaniuliza nikakanusha nikamwambia kwakua Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZII SENIOR ntakuja na vipimo tupime.
NB. Mapenzi ni kitu cha kustaajabisha unaweza kutana na mtu mkajikuta mmekua zaidi ya marafiki hujui kwao / hujui background yake / mnaelewana saidiana.. mapenzi yananishangazaga sanaa Kuna vitu very mysterious achane jamani
Katoka kunipigia hapa simu hapa 😀Daaaah🤣🤣🤣🤣,mkeo mtu poa sana.
Ila Mimi Huwa simsamei msalitii hii ni principal sisamehi🤣🤣🤣🤣🤣,akavurugwa?
Mapenzi ndivyo yalivyo,unajikuta TU TU upo pahala.
Mfano Mimi familia yangu ndio priority namba moja.Hii tabia inasababishwa na Wanaume ambao siyo waaminifu kwenye Ndoa zao.
Vitu vya hovyo hovyo mfano Nyash🤣Na vipi kama Mwanaume nae akimganda Mwanamke,
Yeye anakua kaona nini?
Imagine mkeo asingekusamehe?Ila Mimi Huwa simsamei msalitii hii ni principal sisamehi
Sometimes naona nimemkosea wife.. NIKIMPIGIA SIMU MAMA MZAZI ANANIGOMBEZA NAFOKEWA ANASEMA NATAKA KUVURUGA FAMILIA KISA SIDE CHICK
Yaani ananipa darasa mpaka natoa MACHOZI Jana iyoo kwenye simu
Ugumu wake ni nini?Mfano Mimi familia yangu ndio priority namba moja.
Sema mwanaume kua na mwanamke mmoja sometimes ni ngumu
Take my note
Kama wewe ni mwanaume ulie kamilika.Ugumu wake ni nini?
Kwahiyo hakuna Wanaume waaminifu kwenye Ndoa zao?Kama wewe ni mwanaume ulie kamilika.
Mimi Kuna nyuzi za nyuma nilikua kama wewe nabisha ivyo ivyo ila nimejikuta nimechepuka
Hivyo matamanio ya MWANAUME RIJALI yana change with time.
NB. Ku cheat kwa MWANAUME Haina maana anamchukia mke wake au familia yake nyumbani una hakikisha Kila kitu kipo sawa
Nadhani nilikua Mimi miongoni mwao ila ni 1/10Kwahiyo hakuna Wanaume waaminifu kwenye Ndoa zao?