Hii thinking ni ya Japan au Old Europe na USA lakini sio Afrika

Hii thinking ni ya Japan au Old Europe na USA lakini sio Afrika

Alitaka kujenga Treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni? Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta, akaingia lab kazi ikaanza, Bwawa la kuzalisha Umeme > 2000 MW likaanza kujengwa fasta sambamba na Miundo mbinu ya Treni ya umeme, I mean this is genius, kafikiria Tanzania inategemea Utalii kwa mapato lkn Watalii wanaletwa na foreign Airlines hivyo sehemu kubwa ya mapato kwenda nje badala ya nchini kaingia lab kaja na suluhisho kununua ndege zitakazoleta Watalii moja kwa moja nchini.
Tanzania inauza maua nje lkn inategemea Kenya Airways/KLM kusafirisha kwenda EU kaingia Lab kaja na suluhisho tunahitaji ndege ya Cargo ili kusafirisha maua moja kwa moja ndege imepokelewa juzi, akili hii ipo Japan, Ulaya na USA ya zamani tu, …
Ameiba fedha nyingi mno kwa mgongo wa miradi.
 
Wenye akili ya kuku hawajui kuwa wazo la umeme wa Stieglers Gorge lipo hata kabla ya uhuru.
Mwalimu alisha anza kuliweka kwenye bajeti kwa kuanzisha RUBADA.
Utoto
Issue siyo wazo ni Action, kuna watu wengi wana mawazo ya kitajiri lakini ni maskini,
Issue hapa ni kuwa na mpango nq kuufanyia kazi kuchukua hatua,
Kiongozi mzuri ni yule anayefanya maamuzi siyo kuwa na mpango tu kwenye makabrasha.
 
Ni kweli, lakini Kama process inachukua miaka hamsini na wananchi wanataabika kwa kukosa umeme huo ni ujuha!!! Lazima tubadilike!

Kwahiyo unataka kuniambia kama mtoto ameshindwa kutembea kwa miaka zaidi ya hamsini tutegemee kuna kutembea kweli?
Unazungumziaje umeme wa gas ambao tuliambiwa utazalisha 5,000mw?
 
Issue siyo wazo ni Action, kuna watu wengi wana mawazo ya kitajiri lakini ni maskini,
Issue hapa ni kuwa na mpango nq kuufanyia kazi kuchukua hatua,
Kiongozi mzuri ni yule anayefanya maamuzi siyo kuwa na mpango tu kwenye makabrasha.
Sasa tusifie lipi, umeme wa gas ambao tayari uzalishaji umeanza hapa kinyerezi, ama hilo bwawa?
 
Alitaka kujenga treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni?

Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta, akaingia lab kazi ikaanza, Bwawa la kuzalisha umeme zaidi ya 2000 MW likaanza kujengwa fasta sambamba na Miundombinu ya treni ya umeme.

I mean this is genius, kafikiria Tanzania inategemea Utalii kwa mapato lakini Watalii wanaletwa na foreign Airlines hivyo sehemu kubwa ya mapato kwenda nje badala ya nchini kaingia lab kaja na suluhisho kununua ndege zitakazoleta Watalii moja kwa moja nchini.

Tanzania inauza maua nje lakini inategemea Kenya Airways/KLM kusafirisha kwenda EU kaingia lab kaja na suluhisho tunahitaji ndege ya Cargo ili kusafirisha maua moja kwa moja ndege imepokelewa juzi.

Akili hii ipo Japan, Ulaya na USA ya zamani tu.
Kabisa ! Pamoja na mapungufu yake he was visionary leader hilo halina ubishi ! Ile ni Akili kubwa !!
 
Madikteta wengi wanapenda hayo mambo ya ujenzi. Ukiwatoa madikteta wachache wapumbavu kama Mobutu na Bokasa ila wengine wengi walijenga sana kwenye nchi zao. Hata Idd Amin alijenga hadi uwanja wa Nakivubo. Ila kwenye ubinadamu hakuna kitu kinachoweza linganishwa na uhai wa binadamu. Madikteta wangejenga hivyo vitu bila kudhulumu haki za watu ikiwemo ya kuishi wangekumbukwa kwa mazuri yao. Pamoja na mambo mazuri aliyofanya kwenye ujenzi lakini ni ngumu kumsifu na kumkumbuka JPM kwa ule udikteta wake.
 
Yaani nawaza watu disaini ya legendary JPM kwa nini hawatakiwi duniani!.

Ila pamoja na yote hata hawa waliofanya kazi yao mioyo yao inaendelea kuvuja machozi, japo nje tunaona meno ya kicheko.

Historia itadumu hata kama atasemwa huyu au yule ndiye alileta hiki au kile, bado JPM atabaki kuwa mwenye kuthubutu hasa.
Hata mi sijui Kwa nin hawatakiwa, hata Hitler naye alipingwa sana lakini aliwapenda maskini alitengeza gari mgongo wa chura ili Kila raia awe na usafiri
 
Mjapani mweusi huyu hapa. Chuma kweli kweli
FB_IMG_1670790535408.jpg
 
Madikteta wengi wanapenda hayo mambo ya ujenzi. Ukiwatoa madikteta wachache wapumbavu kama Mobutu na Bokasa ila wengine wengi walijenga sana kwenye nchi zao. Hata Idd Amin alijenga hadi uwanja wa Nakivubo. Ila kwenye ubinadamu hakuna kitu kinachoweza linganishwa na uhai wa binadamu. Madikteta wangejenga hivyo vitu bila kudhulumu haki za watu ikiwemo ya kuishi wangekumbukwa kwa mazuri yao. Pamoja na mambo mazuri aliyofanya kwenye ujenzi lakini ni ngumu kumsifu na kumkumbuka JPM kwa ule udikteta wake.
Hii nchi mpaka anaondoka ilikuwa na watu 59Mill (assumingly) unadhani palikuwa na watu Mill 5 waliokuwa wanamchukia?nakwambia hata 500,000 hawakufika

Duniani haijathibitika kuwepo mtu perfect 100% hata baba ndani ya nyumba kuna wakati anateleza akawe Magufuli?kwani alikuwa malaika yule?
 
Hii nchi mpaka anaondoka ilikuwa na watu 5Mill (assumingly) unadhani palikuwa na watu Mill 5 waliokuwa wanamchukia?nakwambia hata 500,000 hawakufika

Duniani haijathibitika kuwepo mtu perfect 100% hata baba ndani ya nyumba kuna wakati anateleza akawe Magufuli?kwani alikuwa malaika yule?
Angepotezwa baba au mama yako na watu wasiojulikana ndo ungeelewa nilichoandika.
 
Back
Top Bottom