Sema wachezaji mabumunda, na wale wasiojielewa kama Fei Toto ndiyo watakimbia kusajiliwa na Yanga.Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.
Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
akitambulishwa kuna watu watapigwa na butwaa. Fei to SSC😝We mwehu nini, Yanga kapeleka malalamiko kamati ya sheria na hadhi za wachezaji hivi karibuni ata siku 4 azijapita kabla ya hapo walishindwa nini kumtambulisha?
Hakuna pingamizi lilowekwa na Yanga.Yanga imeripoti upotevu baada ya kuona hakuna timu iliyomtambulisha dunia nzima.ingemtambulisha ingelalamikia usajili.Unajielewa kweli? Yanga walishaweka pingamizi na sasa Ishu ipo kwenye kamati ya usuluhishi TFF, unaelewa maana yake kisheria?
Nani alikwambia mapinduzi cup ni kipaumbele cha simba?vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei toto
Na TFF wakituzingua kwa hii issue ya Fei toto, tunaamkia CASYanga wana roho mbaya sana za kishetani
Watu wajinga kabisa hakuna timu inaachia wachezaji wazuri kwa urahisi.njia rahisi Ni wakati unaingia mkataba weka vipengele kama release clause na thamani yake.timu ije na fedha unaondoka sio kuondoka bure hakuna kitu Kama hicho.kama kweli anaubora huo angeondoka huru may 2024.huko kwa wenye akili ndivyo inakuwa.kama mameneja wanyewe Ni akina jemedari badala kusimamia ubora wa mkataba wanaenda redio kupata huruma ya watanzania.Haiwezekani stahiki za timu unayoichezea wakurundikie mchezaji Kama upo huru afu timu ikuache bila thamani halisi.Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.
Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Kwa hiyo na mapinduzi nalo ni kombe la loosers?Nani alikwambia mapinduzi cup ni kipaumbele cha simba?
Ingekuwa hivyo si angeshusha kikosi cha kwanza?
Hayo ni mashindano yenu timu ndogo mlioshindwa kucheza ligi ya mabingwa(CAFCL).
Simba tumerudi kuja kujiandaa na mashindo ya wakubwa wenzetu , tumewaachia watoto mashindano yenu mfurahi.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Yanga haijawahi kushinda kesi yoyote tangu iwepo. Huko CAS mnaenda kupigwa kichwa kama mlivyopigwa na mwehu morissonNa TFF wakituzingua kwa hii issue ya Fei toto, tunaamkia CAS
Yaani uto hapo wameyakanyagaYanga haijawahi kushinda kesi yoyote tangu iwepo. Huko CAS mnaenda kupigwa kichwa kama mlivyopigwa na mwehu morisson
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ndiyo hivyo mkuu. Angalia timu zinazocheza huko kwa asilimia kubwa ni zile zilizotolewa CAFCL au zilizokuwa CAFccKwa hiyo na mapinduzi nalo ni kombe la loosers?
watamwacha mpaka dirisha kubwa... wanasubiri upepo upoe kwanza.. mkishapoa tu anarudishwa kwa wenye mali yao..Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
Sasa hapa nani mwehu, umeuliza umejibiwa ukajifunua kipaji chako unachowapakazia wenzio.Acheni hasira.We mwehu nini, Yanga kapeleka malalamiko kamati ya sheria na hadhi za wachezaji hivi karibuni ata siku 4 azijapita kabla ya hapo walishindwa nini kumtambulisha?
Kwani morrisson alikuwa manchester mkuu.Tuweni wenye subira, huharibu mambo ni desturi zetu kila mahali.Yan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?
Kama utaratibu unafuatwa shida itoke wapi? Huu uswahili badi tu hamjauacha
Pira lipo mnakimbiwa na wachezaji na Bado mnawang'ang'ania, Mudathir anakipi kipya hilo kapiYanga tunapiga mpira Kila mchezaji bongo anaota kuja Yanga! Nani alijua Mudathir hesabu zake ni Yanga?
Kwakuwa tayari tulikuwa tumeshatolewa CAFCL na tulikuwa kombe la looser kama nyie mlivyo sasa hivi.Mbona mwaka jana mli kuwa mabingwa?
Mkataba ulisema wazi alipe 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu.Watu wajinga kabisa hakuna timu inaachia wachezaji wazuri kwa urahisi.njia rahisi Ni wakati unaingia mkataba weka vipengele kama release clause na thamani yake.timu ije na fedha unaondoka sio kuondoka bure hakuna kitu Kama hicho.kama kweli anaubora huo angeondoka huru may 2024.huko kwa wenye akili ndivyo inakuwa.kama mameneja wanyewe Ni akina jemedari badala kusimamia ubora wa mkataba wanaenda redio kupata huruma ya watanzania.Haiwezekani stahiki za timu unayoichezea wakurundikie mchezaji Kama upo huru afu timu ikuache bila thamani halisi.
Mawazo ya ujamaa yameisha mpira biashara.
Kama mkataba hauko upande wa Fei Ni fedha tu itakutoa hapo waende walipe faster unaondoka
Mchezaji ni mfanyakazi kama mfanyakazi wa kampuni yoyote.Yan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?
Kama utaratibu unafuatwa shida itoke wapi? Huu uswahili badi tu hamjauacha
Anapigania ugali wake... nyie mnamsifia anapiga mashuti ... wewe unadhani akizeeka atakula hayo mashuti? Watu wanataka helaDogo mwenyewe huyo hajielewi tu