HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

We mwehu nini, Yanga kapeleka malalamiko kamati ya sheria na hadhi za wachezaji hivi karibuni ata siku 4 azijapita kabla ya hapo walishindwa nini kumtambulisha?
akitambulishwa kuna watu watapigwa na butwaa. Fei to SSC😝
 
Unajielewa kweli? Yanga walishaweka pingamizi na sasa Ishu ipo kwenye kamati ya usuluhishi TFF, unaelewa maana yake kisheria?
Hakuna pingamizi lilowekwa na Yanga.Yanga imeripoti upotevu baada ya kuona hakuna timu iliyomtambulisha dunia nzima.ingemtambulisha ingelalamikia usajili.
 
vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei toto
Nani alikwambia mapinduzi cup ni kipaumbele cha simba?
Ingekuwa hivyo si angeshusha kikosi cha kwanza?
Hayo ni mashindano yenu timu ndogo mlioshindwa kucheza ligi ya mabingwa(CAFCL).

Simba tumerudi kuja kujiandaa na mashindo ya wakubwa wenzetu , tumewaachia watoto mashindano yenu mfurahi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.

Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Watu wajinga kabisa hakuna timu inaachia wachezaji wazuri kwa urahisi.njia rahisi Ni wakati unaingia mkataba weka vipengele kama release clause na thamani yake.timu ije na fedha unaondoka sio kuondoka bure hakuna kitu Kama hicho.kama kweli anaubora huo angeondoka huru may 2024.huko kwa wenye akili ndivyo inakuwa.kama mameneja wanyewe Ni akina jemedari badala kusimamia ubora wa mkataba wanaenda redio kupata huruma ya watanzania.Haiwezekani stahiki za timu unayoichezea wakurundikie mchezaji Kama upo huru afu timu ikuache bila thamani halisi.
Mawazo ya ujamaa yameisha mpira biashara.
Kama mkataba hauko upande wa Fei Ni fedha tu itakutoa hapo waende walipe faster unaondoka
 
Nani alikwambia mapinduzi cup ni kipaumbele cha simba?
Ingekuwa hivyo si angeshusha kikosi cha kwanza?
Hayo ni mashindano yenu timu ndogo mlioshindwa kucheza ligi ya mabingwa(CAFCL).

Simba tumerudi kuja kujiandaa na mashindo ya wakubwa wenzetu , tumewaachia watoto mashindano yenu mfurahi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo na mapinduzi nalo ni kombe la loosers?
 
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
watamwacha mpaka dirisha kubwa... wanasubiri upepo upoe kwanza.. mkishapoa tu anarudishwa kwa wenye mali yao..
 
We mwehu nini, Yanga kapeleka malalamiko kamati ya sheria na hadhi za wachezaji hivi karibuni ata siku 4 azijapita kabla ya hapo walishindwa nini kumtambulisha?
Sasa hapa nani mwehu, umeuliza umejibiwa ukajifunua kipaji chako unachowapakazia wenzio.Acheni hasira.
 
Yan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?

Kama utaratibu unafuatwa shida itoke wapi? Huu uswahili badi tu hamjauacha
Kwani morrisson alikuwa manchester mkuu.Tuweni wenye subira, huharibu mambo ni desturi zetu kila mahali.
 
Yanga tunapiga mpira Kila mchezaji bongo anaota kuja Yanga! Nani alijua Mudathir hesabu zake ni Yanga?
Pira lipo mnakimbiwa na wachezaji na Bado mnawang'ang'ania, Mudathir anakipi kipya hilo kapi
 
Mbona mwaka jana mli kuwa mabingwa?
Kwakuwa tayari tulikuwa tumeshatolewa CAFCL na tulikuwa kombe la looser kama nyie mlivyo sasa hivi.
Lakini sasa hivi tuko CAFCL kwanini tuangaike na kombe la mil 15 mwishowe muwavunje wachezaji wetu miguu ikizingatiwa roho mbaya mlionayo kwa wachezaji wa simba

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Yanga kwa kiasi kikubwa inaendeshwa kwa misingi ya waganga wa jadi na wachawi wao wanawaita wazee wa yanga.

Kama una ndoto za kucheza kimataifa yanga siyo timu ya kuchezea.Huwezi ondoka kwa amani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Watu wajinga kabisa hakuna timu inaachia wachezaji wazuri kwa urahisi.njia rahisi Ni wakati unaingia mkataba weka vipengele kama release clause na thamani yake.timu ije na fedha unaondoka sio kuondoka bure hakuna kitu Kama hicho.kama kweli anaubora huo angeondoka huru may 2024.huko kwa wenye akili ndivyo inakuwa.kama mameneja wanyewe Ni akina jemedari badala kusimamia ubora wa mkataba wanaenda redio kupata huruma ya watanzania.Haiwezekani stahiki za timu unayoichezea wakurundikie mchezaji Kama upo huru afu timu ikuache bila thamani halisi.
Mawazo ya ujamaa yameisha mpira biashara.
Kama mkataba hauko upande wa Fei Ni fedha tu itakutoa hapo waende walipe faster unaondoka
Mkataba ulisema wazi alipe 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu.
Alilipa kama mkataba unavyosema,wewe unasemaje aliondoka bure?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?

Kama utaratibu unafuatwa shida itoke wapi? Huu uswahili badi tu hamjauacha
Mchezaji ni mfanyakazi kama mfanyakazi wa kampuni yoyote.
Ili uweze kufanya kazi kunakuwepo na mkataba ambao unavipengele kadhaa. Katika hivyo vipengele kuna kuvunja mkataba. Kama mchezaji hajaridhika na hela anaruhusiwa kuvunja mkataba kulingana na kipengele kinachosema.
Shida ya Yanga huwa wanang'ang'ania sana wachezaji kana kwamba mchezaji ni Yanga.
Kama mchezaji kavunja mkataba yupo sahihi kwasababu kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba.
Mm sioni kosa la Feitoto sababu anaangalia maslahi yake na yupo sahihi 100%
 
Back
Top Bottom