Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Nyie mnasem hajielewi wakati mtu anapigania ugali wake... we unadhani akizeeka atakula yale mashutiSema wachezaji mabumunda, na wale wasiojielewa kama Fei Toto ndiyo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
sasa leo hao wanasheria wake walianza kwa kumkataa wakili wa yanga mgongolwa haha ila kamati inetupilia mbali hilo shauriMpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
Ulichosema ni kweli, lakini alitakiwa kuwa muungwana kwa kumshirikisha mwajiri wake. Hata akina Msuva walipita Yanga, na sasa wapo nje ya nchi!Nyie mnasem hajielewi wakati mtu anapigania ugali wake... we unadhani akizeeka atakula yale mashuti
Mpira ni hela.. sio maneno matupu... mwacheni aende kwa wataomlipa..
Anyway inawezekana na yeye anamakosa.. lakini mimo nafikiri yanga wana makosa zaidi.. walikuwa wapi muda wote huo kukaa naye chini kuboresha mkataba?Ulichosema ni kweli, lakini alitakiwa kuwa muungwana kwa kumshirikisha mwajiri wake. Hata akina Msuva walipita Yanga, na sasa wapo nje ya nchi!
Kiufupi hakutumia njia ya mkato kama aliyotumia huyu dogo. Alifuata utaratibu, akaondoka kwa baraka zote. Shida iko wapi kwa Fei Toto?
Hivi Msuva alichezea Simba? na Tuswila naye alichezea Azam? Cha msingi ni kufata tararibu tuUkitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.
Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Taratibu ni zile zile kama alivosajiliwa GADIEL & SURE BOY .... Azam to UTO...Hivi Msuva alichezea Simba? na Tuswila naye alichezea Azam? Cha msingi ni kufata tararibu tu
Lini waliweka pingamizi?Unajielewa kweli? Yanga walishaweka pingamizi na sasa Ishu ipo kwenye kamati ya usuluhishi TFF, unaelewa maana yake kisheria?
Naona jaupo serousLini waliweka pingamizi?
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
Mpewa hajui mfukoni kuna nini mkuuSimba haina pesa boss
Wekeni vipengele vyote sio unaweka kimoja tuMkataba ulisema wazi alipe 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu.
Alilipa kama mkataba unavyosema,wewe unasemaje aliondoka bure?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hiyo Hela ya mchicha nani alisaini?Anyway inawezekana na yeye anamakosa.. lakini mimo nafikiri yanga wana makosa zaidi.. walikuwa wapi muda wote huo kukaa naye chini kuboresha mkataba?
Maana binafsi ishu ya feitoto kwamba analipwa hela ya mchicha tumeanza kuisikia kitambo.. maana yake yanga walikuwa na mda wa kutosha kukaa naye chini lakini ni kama walikuwa wanapuuzia.
Tukuulize wewe pia vipi Yanga kule Mapinduzi cup ?vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei toto
Yaani akiamka tu asubuhi anaweka hizo hela anaondoka?si kwamba ndogo la hasha.ingekuwa hakuna mchezaji mzuri anadumu kwenye klabu na vilabu mchezaji akishuka kiwango au asipoonyesha uwezo wanamfukuza Mara moja win win situation.Mkataba ulisema wazi alipe 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu.
Alilipa kama mkataba unavyosema,wewe unasemaje aliondoka bure?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sisi tutatangaza wachezaji tukifanikiwa kuwapata. Siyo drama za anapiga mashuti makali halafu uishie kuzindua channel ya TVWewe umemleta nani? Ngoja tusubili huo utambulisho wa feisal mtausubili mpaka kiama
Kitu mnachoshindwa kuelewa kwanza mnatanguliza chuki kabla ya yote kwa akili zenu mnakua mnahisi Yanga siku zote anakosea. Hakuna mchezaji anayekatazwa kuvunja mkataba ila uvunjaji wa mkataba unataratibu zake kulingana na mazingira na wakati husika. Wauluze ma HR kwa level ya maofisini wakueleze terms of contract termination.Mchezaji ni mfanyakazi kama mfanyakazi wa kampuni yoyote.
Ili uweze kufanya kazi kunakuwepo na mkataba ambao unavipengele kadhaa. Katika hivyo vipengele kuna kuvunja mkataba. Kama mchezaji hajaridhika na hela anaruhusiwa kuvunja mkataba kulingana na kipengele kinachosema.
Shida ya Yanga huwa wanang'ang'ania sana wachezaji kana kwamba mchezaji ni Yanga.
Kama mchezaji kavunja mkataba yupo sahihi kwasababu kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba.
Mm sioni kosa la Feitoto sababu anaangalia maslahi yake na yupo sahihi 100%
Mpaka mfanyakazi kuamua kuvunja mkataba ina maana hajaridhishwa na malipo au huduma anazopata.Kitu mnachoshindwa kuelewa kwanza mnatanguliza chuki kabla ya yote kwa akili zenu mnakua mnahisi Yanga siku zote anakosea. Hakuna mchezaji anayekatazwa kuvunja mkataba ila uvunjaji wa mkataba unataratibu zake kulingana na mazingira na wakati husika. Wauluze ma HR kwa level ya maofisini wakueleze terms of contract termination.
Yan kwakua tu kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba basi unavunja unavyotaka wewe. No haipo ivyo
Pappy nonda shabani.Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.
Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Kama akili zako zinafanyakazi mkataba unaboreshwa pale unapoongeza mkataba mpya, unapewa muda wa kusoma mkataba na kunegotiate, msiongee vitu kimihemko badala ya fact.Anyway inawezekana na yeye anamakosa.. lakini mimo nafikiri yanga wana makosa zaidi.. walikuwa wapi muda wote huo kukaa naye chini kuboresha mkataba?
Maana binafsi ishu ya feitoto kwamba analipwa hela ya mchicha tumeanza kuisikia kitambo.. maana yake yanga walikuwa na mda wa kutosha kukaa naye chini lakini ni kama walikuwa wanapuuzia.