HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
sasa leo hao wanasheria wake walianza kwa kumkataa wakili wa yanga mgongolwa haha ila kamati inetupilia mbali hilo shauri
 
Nyie mnasem hajielewi wakati mtu anapigania ugali wake... we unadhani akizeeka atakula yale mashuti

Mpira ni hela.. sio maneno matupu... mwacheni aende kwa wataomlipa..
Ulichosema ni kweli, lakini alitakiwa kuwa muungwana kwa kumshirikisha mwajiri wake. Hata akina Msuva walipita Yanga, na sasa wapo nje ya nchi!

Kiufupi hakutumia njia ya mkato kama aliyotumia huyu dogo. Alifuata utaratibu, akaondoka kwa baraka zote. Shida iko wapi kwa Fei Toto?
 
Anyway inawezekana na yeye anamakosa.. lakini mimo nafikiri yanga wana makosa zaidi.. walikuwa wapi muda wote huo kukaa naye chini kuboresha mkataba?

Maana binafsi ishu ya feitoto kwamba analipwa hela ya mchicha tumeanza kuisikia kitambo.. maana yake yanga walikuwa na mda wa kutosha kukaa naye chini lakini ni kama walikuwa wanapuuzia.
 
Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.

Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Hivi Msuva alichezea Simba? na Tuswila naye alichezea Azam? Cha msingi ni kufata tararibu tu
 
Wala hamna cha ajabu! Mbona umemsajili Mudathir Yahaya mchezaji ana Nusu Msimu yupo Magomenii! Hata Fei nae atacheza wakati atakaoona ni sahihi! Uwehu ni UTO, Mchezaji ni wenu na hamumtumiii!
 
Hivi Msuva alichezea Simba? na Tuswila naye alichezea Azam? Cha msingi ni kufata tararibu tu
Taratibu ni zile zile kama alivosajiliwa GADIEL & SURE BOY .... Azam to UTO...
 
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?

kama yupo huru kesi za TFF za nn
 
Anyway inawezekana na yeye anamakosa.. lakini mimo nafikiri yanga wana makosa zaidi.. walikuwa wapi muda wote huo kukaa naye chini kuboresha mkataba?

Maana binafsi ishu ya feitoto kwamba analipwa hela ya mchicha tumeanza kuisikia kitambo.. maana yake yanga walikuwa na mda wa kutosha kukaa naye chini lakini ni kama walikuwa wanapuuzia.
Hiyo Hela ya mchicha nani alisaini?
 
Mkataba ulisema wazi alipe 100M na mshahara wa angalau miezi mitatu.
Alilipa kama mkataba unavyosema,wewe unasemaje aliondoka bure?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Yaani akiamka tu asubuhi anaweka hizo hela anaondoka?si kwamba ndogo la hasha.ingekuwa hakuna mchezaji mzuri anadumu kwenye klabu na vilabu mchezaji akishuka kiwango au asipoonyesha uwezo wanamfukuza Mara moja win win situation.
Kama ndio hivyo basi walioandaa huo mkataba Ni wajinga Sana.na labda watakuwa maafisa sheria sio mawakili
 
Wewe umemleta nani? Ngoja tusubili huo utambulisho wa feisal mtausubili mpaka kiama
Sisi tutatangaza wachezaji tukifanikiwa kuwapata. Siyo drama za anapiga mashuti makali halafu uishie kuzindua channel ya TV
 
Mchezaji ni mfanyakazi kama mfanyakazi wa kampuni yoyote.
Ili uweze kufanya kazi kunakuwepo na mkataba ambao unavipengele kadhaa. Katika hivyo vipengele kuna kuvunja mkataba. Kama mchezaji hajaridhika na hela anaruhusiwa kuvunja mkataba kulingana na kipengele kinachosema.
Shida ya Yanga huwa wanang'ang'ania sana wachezaji kana kwamba mchezaji ni Yanga.
Kama mchezaji kavunja mkataba yupo sahihi kwasababu kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba.
Mm sioni kosa la Feitoto sababu anaangalia maslahi yake na yupo sahihi 100%
Kitu mnachoshindwa kuelewa kwanza mnatanguliza chuki kabla ya yote kwa akili zenu mnakua mnahisi Yanga siku zote anakosea. Hakuna mchezaji anayekatazwa kuvunja mkataba ila uvunjaji wa mkataba unataratibu zake kulingana na mazingira na wakati husika. Wauluze ma HR kwa level ya maofisini wakueleze terms of contract termination.

Yan kwakua tu kwenye mkataba kuna kipengele cha kuvunja mkataba basi unavunja unavyotaka wewe. No haipo ivyo
 
Mpaka mfanyakazi kuamua kuvunja mkataba ina maana hajaridhishwa na malipo au huduma anazopata.
Kuna kipengele cha kuvunja mkataba na kinaelezea namna ya kuvunja mkataba kama kipo na mchezaji akataka kuvunja mkataba mimi sioni kosa lake. Nilivyosikia kwenye kipengele cha kuvunja mkataba unatakiwa ulipe 100 milion. Sasa Yanga hawataki wanataka Feisal abaki kucheza.
Morrison naye mliandama mpaka sijui wapi, wachezaji wanataka masilahi (pesa)
 
Anyway inawezekana na yeye anamakosa.. lakini mimo nafikiri yanga wana makosa zaidi.. walikuwa wapi muda wote huo kukaa naye chini kuboresha mkataba?

Maana binafsi ishu ya feitoto kwamba analipwa hela ya mchicha tumeanza kuisikia kitambo.. maana yake yanga walikuwa na mda wa kutosha kukaa naye chini lakini ni kama walikuwa wanapuuzia.
Kama akili zako zinafanyakazi mkataba unaboreshwa pale unapoongeza mkataba mpya, unapewa muda wa kusoma mkataba na kunegotiate, msiongee vitu kimihemko badala ya fact.

Feisal alisaini mkataba mpya that means alikubaliana nao.

Aziz Ki na mama yake walikaa hotelini zaidi ya wiki walikuwa bado hawajakubalina vipengere mpaka walipoelewa ndio akasaini mkataba.

Acheni uswahili uswahili.
 
Back
Top Bottom