PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Asikusumbue huyo shoga ..mtoto Mdogo sana huyo
 
Anatafuta kutekwa, goodness akitekwa madhambi yake yote kwa raia yanafutika. Gen Z watamuona naye ni victim wa udikteta wa Samia na itakuwa ni kete ya kisiasa kwake.
Umenikumbusha mbali sana kuhusu Nape Nnauye kipindi kile alivyotumbuliwa na Magu na wabongo kuanza kumuonea huruma, wakati siku chache nyuma alikuwa ametoka kutunanga na bao lake la mkono.
 
Umenikumbusha mbali sana kuhusu Nape Nnauye kipindi kile alivyotumbuliwa na Magu na wabongo kuanza kumuonea huruma, wakati siku chache nyuma alikuwa ametoka kutunanga na bao lake la mkono.
Hawa Ccm inatakiwa wawe wanauana ili sisi tubaki kuwa watazamaji.
 
Kijembe kwa malkia wa taarabu na uuwaji
 
Sipo upande wa majizi ya Ccm wala sipo upande wa nyumbu, ila nyumbu wanajifanya wao ni wema na wameonewa kwamba walikua kwenye maandamano ya amani wakati ni majizi yalioiba na kuharibu mali za watu kwahiyo lazima niseme nyumbu walistahili kuuwawa vinginevyo wangechoma nchi yote
 
NGUVU KUBWA KWA TATIZO DOGO.
Ila huyo nae SI alikuwa ni mmoja wao?
 
Swali, nani alizima internet? Nani aliamuru media zisitangaze kinachoendelea mabarabarani?
 
Huyo siyo Spika mstaafu bali Spika aliyefutwa kazi!
 
Betina hata akiponda vipi..kidole kati kimempasa
 
Huyo mpuuzi aligomea mjadala wa utekaji bungeni huyo akiwa spika hajaacha legacy nzuri katika utendaji wake wacha nae kimlambe ingawa hicho alicho post ni kijembe kwa bosi wake wa zamani
 
Apunguze spidi, akianza kumgusa Rostam tuu, ameisha.

Unajuwa hawa watu waliokuwa na nyanzifa za juu, huwa wanadhani hawawezi guswa. Mtandao ni cartel wale, hawana simile, pale ukihatarisha maslahi yao.
Haha , si wazee wa CCM Ndio wamemlea wakisema wazazi wake ni wazalendo wa Tabora.
Hapa wa kulaumia ni jk na mamvi ,wamelisha jibwa Sasa linawatafuna
 
Kidada kibinafsi sana hicho!
Nchi ilipofukia tulia anamchango wake mkubwa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…