Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

"Akicheza na Isaka mwanaye?" Sijawahi ona mbona kwenye maandiko huo mstari, version Gani hiyo mkuu?
 
Huyu jamaa ni muislamu mbona ?
Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe.
Mkimaliza kuwabagua wote waliotofauti nanyi mtaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa rangi au hata maumbo ya miili yenu.
 
Kwa hiyo mkristo ndo mwenye haki ya kufanyiwa ubaguzi na waislamu?
Ulisikia wapi ? kule kuna sheria zao fuateni msipeleke demokrasia yenu sio Tanganyika....

Zanzibar ni jamii nyingin usiforce pambana na maisha serikali yako ya Tz.
 
Dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe.
Mkimaliza kuwabagua wote waliotofauti nanyi mtaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwa rangi au hata maumbo ya miili yenu.
Unaongea nn? yaani zanzibar inakuhusu nn ? Acha unafiki nchii hapa watu wanauliwa daily na serikali wewe unafautilia ya zanzibar kama sio tabia za kike.

Mtu ana kosa anahojiwa nyie mnaingia udini na ubara, hamuwezi kufanya chochote kile.
 
Ulisikia wapi ? kule kuna sheria zao fuateni msipeleke demokrasia yenu sio Tanganyika....

Zanzibar ni jamii nyingin usiforce pambana na maisha serikali yako ya Tz.
Hao wazanzibari kama wamejitosheleza wanafuata nini huku Tanganyika?
 
Hao wazanzibari kama wamejitosheleza wanafuata nini huku Tanganyika?
Ulisikia wapi Zanzibar wanategemea bara wakati wamepokwa mamlaka na bara? , sisi ukanda wa pwani ni ndugu zetu nyie kutoka bara hawahusu .
 
Hao jamaa wana shida wakijua ww ni wabara ata huduma za kawaida sokon wanapandisha bei
 
Hapo nilichoona tatizo kubwa ni shule tu yaani hao jamaa wangekua wamefika hata form two tu wakafeli wasingekua na akili za hovyo namna hio
 
Na wao wakija bara tuwachukulie hivyo hivyo
 
sio kila kitu ni dini bro mimi nimesema kwa wale wazinzibar shule haikua upande wao kumtendea binadamu mwanzao yale
wewe pia ina expose namna gan una upungufu au ukosefu wa uelewa kwa kufowad malink yasiyohusiana na mada pale juu muwe na utu

Ulikuwepo au unaangalia hiyo clip ya dakika 2 na unahukumu?
Mbona kuna vijana kwa maelfu na hwajakamatwa?


View: https://vm.tiktok.com/ZGex5E9LJ/
 
Ali
Ali namfahamu,kijana wa Mbagala huyo:-
1.Ni kweli an ugonjwa wa kifafa na hutumia dawa
2.Ni mlemavu wa mguu mmoja nadhani hutumia magongo kutembea
3.Ni mwizi mzuri sana,mwaka jana September, alilazwa hospitali moja hivi kubwa ya umma,akawa anasinguzia ameibiwa simu kwenye ile wodi aliyelazwa na wafanya usafi alipwe isivyo halali,hadi kutokea "staff" wanaomjua background yake kumuongelea
Ni kweli wazanzibar wana ubaguzi uliopitilizia,lakinj hata watu kutoka bara sio wakamilifu bado wezi,vibaka,matapeli,wazinzi na walevi wapo wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…