physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Huyu kuna mtu anayeitwa Erick Masawe ,anaytumia hela anazokusanya,huyu Erick Masawe ni nani kwake?Ndio swali analoulizwa,na hasemi ni nani kwake.Na kwa nini anamtumia hizo hela?Huwenda huyu anatumiwa na huyo mtu kwa nguvu,na pengine wapo wrngine pia huuo Erick,anawalazimisha waombe mitaan na nyumva za ibada,halafu wamtumie yeye hizo hela.Tupe jibu Eric Masawe ni nani yake hata awe anamtumia hela kila siku?.
Kama yeyeDah wananyanyasa na kubagua hadi Kobaaz mwenzao? Je mimi mgalatia na myahudi mweusi wa Bonyokwa?
adriz hydroxo Mufti kuku The Infinity Accumen Mo
Kama yeye ni Muislam kweli kwanini aombe hela kwa Waislam halafu hela hizi za Waislam azitume kwa Erick Massawe wakati hilo jina siyo Kiislsm?Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.
Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.
Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.
Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?
Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?
Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.
Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.
Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Nilikuwa naota...zenji wamepamba moto siku za hivi karibuni, upinde nao wako juu!Hiyo dini yao imewaathiri akili sana wale watu. Dini yenyewe ililetwa toka mbali
Hakuna kitu kama hiko. Abraham alikuwa Muebrania na Hajiri alikuwa mweusi sasa huyo Mkuresh ametokea wapi?Mwanzo 21:9 Baadaye Sara alimwona Ishmaeli, mtoto wa Abrahamu aliyezaliwa na Hagari, Mmisri, akicheza na Isaka mwanawe. 10Basi, Sara akamwambia Abrahamu, βMfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe.
HAPA NDIPO ASILI YA UZAO WA CHUKI, ULIPAJI VISASI, MAUAJI, UGAIDI ULIPO ANZIA.
WATU WA VISIWANI NI KAMA WATU WA UZAO WA ISHIMAEL WENGINE, USISUMBUKE NAO
Hawana exposure, tatizo linaanzia kwa wazee wao, wanakuwa wakiaminishwa ubaya kwa wabaraADUI mkubwa wa Wazanzibari ni DINI na ujinga kwa sababu hawajasoma, hakuna kingine
Sidhani kama hapo wanamnyanyasa kwa sababu ya Uzanzibar. Sehemu yeyote ombaomba ananyanyasika. Ndio maana kuwa ombaomba si sifa.Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.
Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.
Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.
Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?
Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?
Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.
Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.
Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
na waislamn wa kigoma na kondoa sio ndugu zenu? ndio maana tunasema hamna akili. bora mwende tu.Angalia nyuzi nyie mmejaza huku mnaonyesh chuki, watu wa pwani hawafuati mila zenu za bara nyie ndio mmeleta wezi huku..Dharau za kutupiana maneno mara kupeana majina mabaya
Majambazi wote wanatokea Mbeya , Arusha , Mara , Mwanza nyie ni tabu sana
Polisi hapa wanaua watu kutwa , mbona husemi Tanganyika unasema wa Tanzania, bora mnyanyaswe kabisa hata polisi wenu ni wabaguzi wanaua watu kila siku.
Zanzibar sisi wa pwani ni ndugu zetu wale kuliko nyie , huu ndio ukweli bora kukaa na mzanzibar kuliko nyie .
Kwani nimekuambia kwa kigezo cha dini? Kuwa na akili zanzibar ni pwani wana milki ya ukanda wa pwani wote.na waislamn wa kigoma na kondoa sio ndugu zenu? ndio maana tunasema hamna akili. bora mwende tu.
Ikiwa mti mbichi wanautendea namna hii, sembuse wewe Mti mkavu Mkuu?Dah wananyanyasa na kubagua hadi Kobaaz mwenzao? Je mimi mgalatia na myahudi mweusi wa Bonyokwa?
adriz hydroxo Mufti kuku The Infinity Accumen Mo
Tena walivyokukamia hukoDah wananyanyasa na kubagua hadi Kobaaz mwenzao? Je mimi mgalatia na myahudi mweusi wa Bonyokwa?
adriz hydroxo Mufti kuku The Infinity Accumen Mo
punguza chuki kijana utapata pressure ya bure udondokeHayana uzao wowote wa Ismail. Ni mijitu mieusii tii kama tako la iddi Amin yanatamani kuwa miarabu
chukua na huyo kobaz feki wako, kwanza hatutaki ombaomba zanzibarDah wananyanyasa na kubagua hadi Kobaaz mwenzao? Je mimi mgalatia na myahudi mweusi wa Bonyokwa?
ndo maana nasema shule ni shida. kama haujui, hata kabla hamjafanya mapinduzi dhidi ya mwarabu, sultan alishauza ukanda wooote kuanzia mtwara hadi mombasa. ndio maana hata katiba yenu inatambua mipaka ile ya wakati ule mnafanya mapinduzi, kwasababu kabla ya hapo Tanganyika ilishachora mstari wake. sultani wenu aliuza pwani yote kwa mjerumani na muingereza, na sisi tulipokea kijiti toka kwa muingereza kukiwa na mipaka hii ya sasa. chenu ni kisiwa cha unguja na pemba na tuvisiwa tunatowazunguka tu. Mafia ndio iliuzwa kitambo mno, ushahidi wote upo. pigeni shule ndugu zangu.Kwani nimekuambia kwa kigezo cha dini? Kuwa na akili zanzibar ni pwani wana milki ya ukanda wa pwani wote.
wanamiliki ardhi nyingi sana kigamboni na pwani yote, hadi mikoani wanamiliki ardhi. ila sisi kwao No. kama hatuna akili vile?Hawa Wazanzibar ni mbwa na hawafai kabisa mimi nashangaa huku kwetu kuna watu wanawashobokea sana na kujifanya ndugu zao! Binafsi nawachukia sana.
Shule ipi kenge wewe, hamna ukanda uliouzwa waliondoka ,pwani tumebaki na asili yetu hatufanani na nyie wabara hata mfanyaje ....Ukanda wa pwani ni sehemu ya zanzibar nyie machzi wa bara sio ndugu zetu .ndo maana nasema shule ni shida. kama haujui, hata kabla hamjafanya mapinduzi dhidi ya mwarabu, sultan alishauza ukanda wooote kuanzia mtwara hadi mombasa. ndio maana hata katiba yenu inatambua mipaka ile ya wakati ule mnafanya mapinduzi, kwasababu kabla ya hapo Tanganyika ilishachora mstari wake. sultani wenu aliuza pwani yote kwa mjerumani na muingereza, na sisi tulipokea kijiti toka kwa muingereza kukiwa na mipaka hii ya sasa. chenu ni kisiwa cha unguja na pemba na tuvisiwa tunatowazunguka tu. Mafia ndio iliuzwa kitambo mno, ushahidi wote upo. pigeni shule ndugu zangu.