Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

ADUI mkubwa wa Wazanzibari ni DINI na ujinga kwa sababu hawajasoma, hakuna kingine
Ndugu
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Tumlaumu Nyerere kwa upuuzi alioufanya......ukiangalia kwa umakini muundo wa muungano utagundua Nyerere alikuwa analazimisha!
 
Shida inayowasumbua wazanzibar wengi ni shule
JUST IMAGINE;

1. Wanamiliki ardhi bara, sisi kwao marufuku kumiliki.
2. wanaajiriwa serikali bara, sisi kwao marufuku kuajiriwa.
3.wanakuwa wabunge kwetu bara, sisi kwao marufuku.
4. wanakuwa mawaziri bara, sisi kwao marufuku.
5. wana TRA yao, ila wakikopa wabara tunalipa.
6. umeme wanatumia wa bara, sina uhakika kama wanalipa.
7. wana uhuru kuishi bara, ila wewe ukienda kule wanakuona umeenda kuchukua neema zao na wanakuita chogo.

8. kero za kwao tu ndio zinatatuliwa, za bara sijawahizisikia. hivi, kama wao tu ndio wana kero kwetu pamoja na hayo nimeandika sisi hatulalamiki, sisi tunafaidika nini na wao? mwinyi ambaye ameshakuwa waziri bara, ameenda kule amekuwa rais, anasema wabara tukimiliki ardhi kule ni kwa uwekezaji wakati yeye na familia yake wanamiliki ardhi bara na majumba kibao. amewaangalia tu wazanzibar wanapiga viboko wabara wakristo kwa sababu atiwamekula chakula mchana, hatujaona yeyote akipelekwa mahakamani. hawa watu wanatufaa kweli?

hivi, kama kuna anayejua, Tanganyika ina faidika nini na huu muungano.
 
kijana ni muislamu wewe mbona unaongea mambo hayapo kabisa . Huyo Ali ni muislamu kila kitu unatafsiri kwa kukuza mambo .

kuna uzi wa kusema watu wa pwani , huoni ni vita , kila mtu arudi kwao maana nyie wabara pia mna ujinga dhidi ya sisi wenzenu wa pwani tena Tanzania . Tunaishi na nyie safi haswa huko kwenu kaskazini ni wabaguzi kinoma
 
kijana ni muislamu wewe mbona unaongea mambo hayapo kabisa . huyo Ali ni muislamu kila kitu unatafsiri kwa kukuza mambo .

kuna uzi wa kusema watu wa pwani , huoni ni vita , kila mtu arudi kwao maana nyie wabara pia mna ujinga dhidi ya sisi wenzenu wa pwani tena Tanzania . Tunaishi na nyie safi haswa huko kwenu kaskazini ni wabaguzi kinoma
watu wa pwani gani wanabaguliwa Tanzania bara? sijawahi kuona. unamaanisha wazaramo? manake pwani yote sasaivi imejaa watu wote wa mikoani na wa pwani, wameshaassimilate.
 
Angalia nyuzi nyie mmejaza huku mnaonyesh chuki, watu wa pwani hawafuati mila zenu za bara nyie ndio mmeleta wezi huku..Dharau za kutupiana maneno mara kupeana majina mabaya

Majambazi wote wanatokea Mbeya , Arusha , Mara , Mwanza nyie ni tabu sana .
 
hoja iliyoko hapa ni Tanganyika vs zanzibar, hio pwani unaongelea pwani ya wapi? mbona unaongea kama mzanzibar ambaye hajawahi hata kufika Tanganyika? watanganyika hatuko hivyo ndugu, ujambazi upo kila sehemu, ukienda Kondoa ambako kuna uislam wapo, Tanga wapo, mtwara wapo kila sehemu, na hata mikoa hiyo umetaja ukienda utakuta msikiti unaweza hata kulala msikitini kama huna hela ya guest, Watanganyika tunaishi kwa upendo tu, shida ni ninyi mnatuona kama sio wenzenu wakati tumewabeba.
 
JUST IMAGINE;

1. Wanamiliki ardhi bara, sisi kwao marufuku kumiliki.
2. wanaajiriwa serikali bara, sisi kwao marufuku kuajiriwa.
3.wanakuwa wabunge kwetu bara, sisi kwao marufuku.
4. wanakuwa mawaziri bara, sisi kwao marufuku.
5. wana TRA yao, ila wakikopa wabara tunalipa.
6. umeme wanatumia wa bara, sina uhakika kama wanalipa.
7. wana uhuru kuishi bara, ila wewe ukienda kule wanakuona umeenda kuchukua neema zao na wanakuita chogo.

8. kero za kwao tu ndio zinatatuliwa, za bara sijawahizisikia. hivi, kama wao tu ndio wana kero kwetu pamoja na hayo nimeandika sisi hatulalamiki, sisi tunafaidika nini na wao? mwinyi ambaye ameshakuwa waziri bara, ameenda kule amekuwa rais, anasema wabara tukimiliki ardhi kule ni kwa uwekezaji wakati yeye na familia yake wanamiliki ardhi bara na majumba kibao. amewaangalia tu wazanzibar wanapiga viboko wabara wakristo kwa sababu atiwamekula chakula mchana, hatujaona yeyote akipelekwa mahakamani. hawa watu wanatufaa kweli?

hivi, kama kuna anayejua, Tanganyika ina faidika nini na huu muungano.
Wanalelewa kama last born, ifike wakati nchi (bara) itumie maamuzi magumu. Haiwezekani eneo lenye watu zaidi ya 60M kuendelewa kulalamika kuonewa na eneo lenye watu wasiozidi 3M
 
watu wa pwani gani wanabaguliwa Tanzania bara? sijawahi kuona. unamaanisha wazaramo? manake pwani yote sasaivi imejaa watu wote wa mikoani na wa pwani, wameshaassimilate.
Angalia nyuzi nyie mmejaza huku mnaonyesh chuki, watu wa pwani hawafuati mila zenu za bara nyie ndio mmeleta wezi huku..Dharau za kutupiana maneno mara kupeana majina mabaya

Majambazi wote wanatokea Mbeya , Arusha , Mara , Mwanza nyie ni tabu sana
hoja iliyoko hapa ni Tanganyika vs zanzibar, hio pwani unaongelea pwani ya wapi? mbona unaongea kama mzanzibar ambaye hajawahi hata kufika Tanganyika? watanganyika hatuko hivyo ndugu, ujambazi upo kila sehemu, ukienda Kondoa ambako kuna uislam wapo, Tanga wapo, mtwara wapo kila sehemu, na hata mikoa hiyo umetaja ukienda utakuta msikiti unaweza hata kulala msikitini kama huna hela ya guest, Watanganyika tunaishi kwa upendo tu, shida ni ninyi mnatuona kama sio wenzenu wakati tumewabeba.
Polisi hapa wanaua watu kutwa , mbona husemi Tanganyika unasema wa Tanzania, bora mnyanyaswe kabisa hata polisi wenu ni wabaguzi wanaua watu kila siku.

Zanzibar sisi wa pwani ni ndugu zetu wale kuliko nyie , huu ndio ukweli bora kukaa na mzanzibar kuliko nyie .
 
ADUI mkubwa wa Wazanzibari ni DINI na ujinga kwa sababu hawajasoma, hakuna kingine
Dini sio tatizo kwa sababu hata bara kuna watu wa dini lakini hawana ujinga huo,sema labda upeo wao tu ni mdogo halafu hawana mshauri mzuri wote wamekutana utakuta hata mkuu wa wilaya naye anapita mitaani kushabikia mambo kama hayo na kusapoti.
 
Wanalelewa kama last born, ifike wakati nchi (bara) itumie maamuzi magumu. Haiwezekani eneo lenye watu zaidi ya 60M kuendelewa kulalamika kuonewa na eneo lenye watu wasiozidi 3M
Hata mimi nashangaa sijui tunajikomba nini kwao,kila wafanyacho bara wapo kimya kama mabubu
 
Wapo watakaodai Katiba mpya itaenda kutatua na kuondoa tatizo hili.

Treni ishaondoka...
 
Mbona nasikia lafudhi ya Kiswahili cha Arusha!
 
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela.

Udhalilishaji aliofanyiwa umeniacha na maumivu makubwa moyoni. Mtu hata kwa kumtazama usoni unaona dhahiri hayuko sawa na asiye na siha njema. Nimesawijika sana.

Wanasema amewaibia lakini hakuna uthibitisho wa hilo. Zaidi unaona ni chuki ya kwa kua ni mtu wa bara na zaidi ukisikiliza clip kwa uzuri kuna mtu anaropoka hawezi kua na msalaba huyo? Hiyo baada ya mmoja kumuuliza bwana Ali kuhusu mtu anaitwa Eric Masawe.

Nimekerekwa sana kwa udhalilishaji huu. Hii chuki ya dini ya mtu inatoka wapi? Asilani siwezi kumchukia mtu kwa dini yake hata kama si wa imani yangu na siafiki mambo juu ya imani yake. Kulikua na haja gani kutaja suala la msalaba?

Mimi kwetu Arumeru baba yangu alikua anakodisha ardhi kwa wazanzibari kiroho safi bila kujali dini zao wala utofauti wa makabila. Lakini, wenzetu hii chuki inatoka wapi?

Bwana Ali ametwezwa sana utu wake. Na huyu ni ndugu muislam vipi kwa asiye muislam? Hivi ndio dini inaelekeza? Kama mnaona kuomba anapata sana basi nanyi muombe muone kama ni jambo la kujivunia.

Wazanzibari mkae mkijua kama ni hasira zenu basi muipelekee CCM na sio wananchi wa kawaida. Huyo ndie adui yenu na adui wa kila mmoja wetu.

Ifike wakati mstaarabike. Dini badala ya kutujenga zinatufanya kuwa mafala na majinga.
View attachment 2977699
Aisee
 
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema binadamu sote ni ndugu ama katika dini au katika utu!
Kwa hawa wazanzibar hakuna kinachokaa katika hayo kulingana na video hii,ikiwa ni kweli huyo ndugu anayeshurutishwa ni muislam. Binafsi uwa naamini binadamu kwa asili kaumbwa na upendo,chuki hufunzwa tu na ikamkaa, waz'bar wamejazwa chuki dhidi ya Watanganyika,chuki yao inakolezwa zaidi na utofauti wa dini kwa maana ya majority proportion.
Yawezekana wazi huyo kijana anayeonekana kwenye hiyo video si muislam maana anakosa jibu la Erick ni ni nani kwake hata amtumie pesa kila siku?na huenda wala si mgonjwa. Lakini kama hayo yote ni kweli basi tuna safari ndefu sana. Ikiwa wameutenda hivi mti mbichi,mkavu itakuwaje!?
Muungano wa Tanganyika na Z'bar binafsi naona ni kheri tugawane mbao, kuna mambo mengi ambayo yanaonekana wazi kabisa kuwa hayako katika mizania ya usawa. Hii si sawa.
 
Back
Top Bottom