UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Unazungumzia chadema wale waliokatiwa chajuu na lowassa 2015 wakauza chama, na wanaolamba asali sasa hivi, au wengine?Chadema tukishika hatamu tutawafilisi wote hao hata wakikimbilia nje ya Nchi tutatumia Interpol kuwakamata na kuwarudisha ili wakanyee debe.
Nchi inahitaji kiongozi mmoja tu mwenye akili awe rais nakuhakikishia chadema wakishika hii nchi tutajuta kuzaliwa TanzaniaWakoloni weupe pia walikuwa wakisema hivyo hivyo kuhusu TANU kuwa hawawezi kushika Dola ati ni chama cha wanywa kahawa.
Inakera sana.Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya kupiga pesa za umma, na wanaratiba za kwenda majukwaani kutoa machozi ya mamba.
Hawa watawala wanashindana kutoa machozi ya mamba kuhadaa wajinga na ionekana jamaa wanajali sana wanancni na wako na wanancji lakini uhalisia ni kwamba wana syndicate ya kuimaliza nchi.
Raisi anatoa crocodile tears tu na kuhadaa umma, hakuna kitu, kwamba raisi anauchungu na hii nchi ni uongo mkubwa sana, raia tusipo simama wenyewe kulinda hii nchi kwa niaba ya vizazi vijavyo tutakuwa hatutendi haki.
Angalia gari kama hilo ni kodi zetu, ni kodi za wazazi wetu kule kijijini wanao isha life gumu lakini still wanakamuliwa na Serikali kodi ili wakanunue magari kama haya na baadae wanayatelekeza mtaani.
Hata katiba mpya haitabadilisha huu ujinga zaidi ya kuja kuwa show kwamba tumechoka.
View attachment 2587531
Inasikitisha sana na hata ukienda ofisi za Serikali Kuna mamia ya magari yamepaki unused,unakuta Ina shida ndogo tuu..Na hii haitasha hawa viongozi wan syndicate ya kupiga pesa tu
Upuuzi,Tanzania Ina tatizo la kijamii walio Nje wakiingia nao wanafanya hivyo hivyo..Chadema tukishika hatamu tutawafilisi wote hao hata wakikimbilia nje ya Nchi tutatumia Interpol kuwakamata na kuwarudisha ili wakanyee debe.
Wanamkomoa marehemu ila kiuhalisia tunaokomolewa ni sisi wananchispika yupo kwa ajili ya kumlinda rais bungeni
kila makosa yanayofanyika wanajificha kwenye kichaka cha JPM
haina ubishi serikali imefeli ni vile tu hakuna wa kuongea hadharani maana mpaka wale wapinzani feki wameonjeshwa asali
Ni nani aliyewaweka madarakani hao ndugu unaowalalamikia???
Mtu yeyote ambaye kwake suluhu ya kwanza ni kumuachia mungu huwa namuona kiumbe wa ajabuKuna hujuma kubwa sana nyuma yaaaaa ila Mungu huyu hawezi acha hili lipite bila watu wachache kuadhibiwa kwa uovu huu. Tiss yetu angalile haya ipo siku mtasema kudaiwa kaz mlifanya nyie hamna ushirika na serikali ama kiongozi nyie ndio jamuhuri msichoke hata kama mnachoshwa
Maandamano ya amani ya kuwaonyesha wezi wetu kuwa tuna ghadhabu na tozo zetu yaandaliwe na uongozi wa Upinzani.
Mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa karibu na Mwamba na Lissu.
Milioni 3 tena likiwa limetoka kwenye service ya milioni 24V 8 linauzwa bei ya bajaji dadeq
Lilijaribu kuingilia kati kamanda wa huo mkakati akapewa ubalozi huko AsiaJeshi liingilie Kati Haya Mambo Watu wanakula Ila Hakuna Kinachofanyika