LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Anakua keshaandaa waandishi wa habari kitambo, akifika pale full macamera ila huko kwenye foleni mpo ninyi ambao hata picha hampigi.
 
Huyo mubaba wa mbele mwenye shati la light blue kashika picha ya samia ili iweje?

Huo unaitwa usanii wa kisiasa (political arts) si angeenda kwa foleni hata barabarani, ndio tulipofikishwa hadi ukombozi mpya wa kifikra.
 
Huo unaitwa usanii wa kisiasa (political arts) si angeenda kwa foleni hata barabarani, ndio tulipofikishwa hadi ukombozi mpya wa kifikra.
Kama barabarani angeenda kwa foleni na hapo ingekuwa sahihi.
Sanaa iliyokosa ubunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…