LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni kujishusha kujionyesha ni kiongozi wa watu which si jambo baya
Lakin at the same time wana copy nyerere ambae alikuwa hajishushi for show, he meant it
Wajishushe na kule barabarani sio kusimamisha watu na wagonjwa wanaowahi matibabu
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Samia ana namba kwenye jumba la sanaa
 
Mimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?
Hoja yako ina mantiki sana,
 
nchi na nchi ni falme ambazo ni familia ya Mungu, haziwezi kulingana kwa chochote. Chuki ni pepo linalowaingia viongozi wa nchi hizo na huwa ni ishara ulevi wa madaraka, kiburi na kutokumuheshimi wala kumkufuru Mungu 🐒
You are gifted FOOL...
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
🤣 🤣 🤣
 
Ukichunguza hapo mbele hao wote unaweza kuta ni TISS - RTD
 
Ngoja waje kina luca mashamba watuambie kwamba wote mbele ya mama ni TiThi 🤣🤣🤣
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399

Kuna Elimu ya Political Science kubwa sana ndani ya CCM. Hili wapinzani kwao bado sana .

Wapinzani wanashindwa uchaguzi kwa sababu Hawajasoma Sayansi ya siasa na namna ya kufanya propaganda za kuwin sio ile ya kulia lia kuwa tunahujumiwa n.k.

Wapinzani kuna mambo Mengi sana ya kujifunza toka CCM mana CCM ina muunganiko mkubwa sana na vyombo vya dola ambavyo ndani yake kuna watu waliobobea kwenye propaganda mipango ya ushindi na kila aina ya figisu . Lakini sio tu figisu lakini pia namna ya kushinda vita hata wakati wa kuwa na upinzani mkubwa na silaha chache.
Sasa wapinzani badala ya kuzunguka usiku na mchana kuwaambia watu watoke kwenda kujiandikisha hata kwa kuorodhesha wanachama wao kwenye Daftari wao wanakua wa kwanza kuwakatisha watu tamaa kuwa Kura zinaibiwa ,ooh kuna madaftari mawili ya kuandikisha moja la CCM na upuuzi mwingu . Matokeo yake watu hawaendi kupiga kura wala kujiandikisha.

Kifupi CCM wako maili nyingi sana mbele kisiasa ukilinganisha na Vyama vingine .
Wapinzani wasipoona kuwa kuwa kuna mahali wanakosea kujipanga basi hakika watapoteza sana nafsi kwenye uchaguzi.

Hapo Samia zinahamasisha Wananchi hasa wa CCM kuwa wajitokeze kwa wingi kwenda kujiandikisha na wawe wavumilivu wasione shida kupoteza muda kwa siku moja.

Sasa mtu anajiuliza kama Rais mwenyewe anapoteza muda wake kujiandikisha mimi ni nani niogope kupoteza muda.

Rais ameonyesha mfano mzuri sana wa kuthamini siku ya kujiandikisha bila kujali muda unapotea.
Tulitakiwa tumuone Mbowe ,Lisu, Mnyika n.k. Wakiwa wameongoza wanachama wao kwenye zoezi hilo
 
Wala sioni ajabu kwa Hilo mkuu mi naona wananchi wapo sawa tu rahis ni binadamu Kama binadamu wengine tu pia kafanya hivo kwa kuwaheshimu waliopo pale pia ukiaangalia vzr nikama wazee wakubwa hivo katumia ubinadamu kwa kuwaheshimu wale wazee Wala hawana makosa yoyote na Kama angewatow pale isingeleta picha nzr machon mwa watu na unaposema wamekosa adabu unakosea Sana maana wale ni watu wazimaa Tena wazee
 
Back
Top Bottom