LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Uko barabarani Ambulance iliyobeba mgonjwa ilisimama kupisha msafara wa Samia mkuu?
 
kama kapanga foleni kwa amani hivyo sasa yale mabunduki mazito ya kivita wanaobeba Wale jamaa kuwaga ya nini iwapo kiongozi amechanganyikana na raia kwa furaha kama hivyo kweli watz ni watu poa sana.
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Hiya inaitwa usanii
 
Hiyo ndio maana ya Rais mtumishi wa umma. Siamini wananchi walikataa ila ni namna njema ya Rais kuonyesha mfano wa kujishusha. 🙏🙏🙏
 
Mimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?
Huko barabarani haumpishi bali unazuiliwa kupita hivyo si jambo la hiari.
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
ni mambo ya kawaida kwa ukimani kwa sababu bado ni porini hawaishi watu kamili.
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Ndiyo ni FUTUHIIIIIIIII.
 
Ni kujishusha kujionyesha ni kiongozi wa watu which si jambo baya
Lakin at the same time wana copy nyerere ambae alikuwa hajishushi for show, he meant it
 
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.

Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)

Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.

Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.

View attachment 3122399
Amefuata utaratibu, hata Mwalimu Nyerere alikuwa anapanga foleni.
 
mamlaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu. Na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Tii mamlaka bila shuruti, usijilazimishe kupata laana 🐒
Tatizo hizo "sauti" ambazo uonekana ni za wengi uwa zimepatikana kwa njia ya wizi, hadaa na hata dhuluma ya maisha ya watu. Lakini kwa vile mwenyezi Mungu karidhia hilo basi sawa.
 
Amefuata utaratibu, hata Mwalimu Nyerere alikuwa anapanga foleni.
Kwanini barabarani hakufata utaratibu wa foleni badala yake tulisimamishwa kumpisha. Tena kwa masaa mengi
 
Back
Top Bottom