Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
- Thread starter
-
- #121
Hivi hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliyejiandikisha?Hapo ndo baadhi ya wapinzani wataambiwa hata kula moja hawajapa sababu hawakujiandikisha
Si swala kujiandikisha, ni swala la kutafuta sababu flani flani za kumaliza upinzani kwenye uchaguziHivi hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliyejiandikisha?
Vipi kuhusu wagombea serikali za mitaa wapo wapinzani?
Umeenda kwenye hoja nyingine. Hii ni tofautiSi swala kujiandikisha, ni swala la kutafuta sababu flani flani za kumaliza upinzani kwenye uchaguzi
Hao wote ni waigizaji wenzake. Wacheza sinemaHIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Maigizo hayo jombaa!HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
Umeongea mengi ya maana. Lakini angeenda stright bila kupanga foleni pia angekuwa amehamasisha watu wakajiandikishe.
Hakukuwa na haja ya yeye kupanga foleni wakati huko barabarani hajapanga foleni tumesimamishwa ili tumpishe. Hoja yangu ipo hapo.
Wanawahadaa Watanzania wasiokuwa na uelewa
Hapo ndipo ulipo ulipofikia au kuna ziada?Mungu anamuona mtu hata yule mlevi wa maandamano kila haramu halafu akasalitiwa na watu wake mwenyewe
Hizi sura zinaonekana ni CCM daima 🤣HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha kwa sasa)
Kilichonistaajabisha hadi kufikia kuandika huu uzi ni yeye baada ya kufika huko kwenye kujiandikisha eti akapanga foleni, yaani eti aliowakuta hawakumpisha.
Naona kama vile wananchi wamekosa adabu, iweje ushindwe kumpisha mheshimiwa apite mbele wakati huko barabarani watu wamempisha na kusababisha kuchelewa kwenye shughuli zao na wengine wagonjwa wamechelewa kufika hospitali kwa wakati kupata matibabu.
View attachment 3122399
ni yule mlevi mkubwa wa kile chama ndie hasa anependa kuongelea maanadamano haramuHapo ndipo ulipo ulipofikia au kuna ziada?
Hata kama uchawa lazima za asili huwa zinabaki.
Aliyeongelea maandamano nani?
Mkuu, kuwa na heshima kidogo na kiongozi wetu mkuu wa nchi.Inawezekana hawamfahamu, ama kama ni msanii atakuwa anatengeneza klipu, (clip), ya kuweka kwenye sinema yake
Kule barabarani tulivyosimamishwa muda mrefu ili apite, Tulisema kuwa wakubwa hawana utu, wanasababisha watu kuchelewa kwenye shughuli zao. Na kusababisha wagonjwa wachelewe kupata matibabu na pengine kupelekea kufa.Na watu wangesema kuwa wakubwa wao hawapotezi muda lakini wadogo wanapanga foleni hivyo ni bora kuwaachia hao wenye nchi wapige kura.
Kwa hili mama ameupiga mwingi
Hata shetani aitwaye Ibilisi naye ni mungu na anatoa madaraka na mali kwa wanaomfuata.mamlaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu. Na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Tii mamlaka bila shuruti, usijilazimishe kupata laana 🐒
Uzi ilivyoanzishwa hakutaja jina aliandika kiongizi fulani, soma pia comment #1, hata hiyo picha haikuwepo,Mkuu, kuwa na heshima kidogo na kiongozi wetu mkuu wa nchi.
Anatengeneza picha sawa na ile ya Mwalimu Nyerere miaka ya nyuma alipoamua kupanga foleni siku ya kupiga kura.Mimi sina tatizo na kutii mamlaka, nimeshangazwa na hao wapanga foleni kwanini wasimpishe mheshimiwa ahudumiwe haraka kama ambavyo wananchi wengine barabarani walimpisha bila tatizo?