Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

Huna hoja zaidi ya porojo ulizoziandika

Al qaaba na mji wa Makkah umekuwa mtukufu tangu enzi na enzi na ibada ya hijjah imeanza tangu enzi hizo
Nilitarajia hoja zako zitaanzia huko ila hata sijui umeandika nini.
 
Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,
MIMI naishi na Imani ya Wakolosai unaambiwa

Wakolosai 2:20-22

20 Kwa nini, basi, kuishi tena kama vile mngekuwa wa ulimwengu huu? Ya nini kuwekewa masharti:

21 “Msishike hiki,” “Msionje kile,” “Msiguse kile!”

22 Mambo hayo yote yanahusika na vitu vyenye kuharibika mara tu vinapotumiwa; hayo ni maagizo na mafundisho ya kibinadamu tu.
 
Huna hoja zaidi ya porojo ulizoziandika

Al qaaba na mji wa Makkah umekuwa mtukufu tangu enzi na enzi na ibada ya hijjah imeanza tangu enzi hizo
Nilitarajia hoja zako zitaanzia huko ila hata sijui umeandika nini.
Kama ni enzi na enzi basi ni ibada ya kishetani maana uislam umeanza juzijuzi tu karne ya sita au ya saba
 
Mkubwa mzima unaongelea imani za watu na huna hata ujuzi huu ni ushamba wa kijinga sana.
Nguzo ya tano katika dini tukufu Ya Mwenyezimungu inasema "Kuhiji katika nyumba tukufu Makka kwa mwenye kuweza kuiendea nyumba hiyo",

And lastly, kuna swaumu ya Arafa, kwa walioshindwa kuiendea nyumba tukufu ya Mwenyezimungu tuna sunna ya kufunga siku ya Arafa (Hajj).

Kama wewe huamini it's better ukakaa kimya, hakuna atakayeingilia imani yako, ¡pendejo !
 
Binadamu na dini zake!
Utapeli mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…