Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Mkuu wasipo kuelewa na hapa basi tena.
 
Huyo maalim amenyimwa mzigo... maana kuwatafuna watoto wadogo ni suna
 
Mwanafunzi anayedoji masomo unampa adhabu inayomfanya akose masomo zaidi?

Injury mkuu kuna injury hapo? Hapo kuna pain tu sio injury. Na pain evokes memories kuliko kubeba vidumu vya lita tano
Atavibeba baada ya masomo. Na utamwambia na Mzazi wake kuwa nitampa adhabu hii na sidhani kama ni mbaya.

Hii ya physical pain ni Physical Abuse.....Inflicting pain on body using your power ni Ukatiri sio njia ya kumuonya mtoto.

Watoto wengine kama ni wakorofi unaachana nao. Dunia itawanyosha huko mbeleni.
 
Mbona mambo yapo wazi sana mkuu huku mitaani tena Wenyewe wanawaita 'Watoto wasiku hizi' hawajui hao watoto wa siku hizi wametokana na nini.

Ni kwamba wametokana na Wazazi wa Siku hizi..

kuiga kila kitu kutoka kwa wazungu.

Eti muache junior muache apasue TV ,,avunje Kioo tumuache tuu kisa yeye ni Junio ndio wao watoto wakija Wageni Wanawatia Aibu.

Mtoto huwezi tena kumwambia acha Akaacha lazima uanze kumbembeleza Junior acha ee acha mwanangu acha baba Toto linakazania Sitakiiii mbele ya Wageni unabaki na Aibu zako.

Waache waendelee kufuga watoto Ngoja Sisi Tulee.
 
Ujinga tuu kumchapa mtoto kwa kumlazimisha kukariri upuuzi
 
Alaaawakubaruuuuuuuuuu.......
 
Double standard hii.
Ukiwa na kondoo 100 akipotea mmoja unawaacha 99 unamtafutia yule mmoja.
Hapa unatuambia watoto wengine kama ni wakorofi unaachana nao dunia itawanyoosha huko mbeleni.
 
Nafahamu mkuu shida hii magnetude haijagusa kisawasawa watoto wa big FISHES.

Ukianza kusikia makelele kuhusu malezi kwa wingi hapo kaa utambue kuna wanene matoto yao yameharibikiwa huko.
 
Hii ya physical pain ni Physical Abuse.....Inflicting pain on body using your power ni Ukatiri sio njia ya kumuonya mtoto.

Watoto wengine kama ni wakorofi unaachana nao. Dunia itawanyosha huko mbeleni.

Kwahiyo mtoto akushinde aje kuuwawa na walimwengu?

Aje kukutesa hospitali na polisi?

Aje kuwa mzigo wako mbeleni?

Aje kusumbua watu?

Yani jukumu lako unalidefer kwa Dunia huko mbeleni?
 
Hao watoto wakitoka hapo wanajiunga na Hamas moja kwa moja maana wanakuwa wamekomaa kwa mboko na hawataogopa mabom ya ukanda wa Gaza na magharibi ya mto Jordan
📌Huna akili,unakoment kama umebeba helmet juu ya shingo.
 
Kwahiyo mtoto akushinde aje kuuwawa na walimwengu?

Aje kukutesa hospitali na polisi?

Aje kuwa mzigo wako mbeleni?

Aje kusumbua watu?

Yani jukumu lako unalidefer kwa Dunia huko mbeleni?
Hawa wazungu pori wasitubabaishe na elimu zao uchwara with poor thinking capacity!!!
 
Kwahiyo mtoto akushinde aje kuuwawa na walimwengu?

Aje kukutesa hospitali na polisi?

Aje kuwa mzigo wako mbeleni?

Aje kusumbua watu?

Yani jukumu lako unalidefer kwa Dunia huko mbeleni?
Mtoto kushindikana ni matokeo ya machaguo yake mwenyewe.
 
Ndiyo maana umekuwa na roho katili namna hii. Unaona siyo ajabu mtoto kupigwa. Umeathirika mpaka ubongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…