Kosa kubwa upinzani tulifanya kususia bunge la katiba ni heri tungebaki ikapitishwa ile katiba ya ccm maana ni heri ilikuwa na tume huru na raisi kupunguziwa madaraka .Tusingejikuta natulio kutana nayo uchaguzi huu 2020 .lazima viongozi wa upinzani wakubali walikosa hekima na maarifa kwa ajili ya gadhabu ,ushauri wangu viongozi wetu haijalishi umetegewa au bahati mbaya au ni kwa uzembe umeanguka ,cha msingi kuinuka na kusonga mbele safari kwa kutumia maarifa na ustadi mkubwa .Kwa wacha wabunge viti maalumu waende bunge na uwe mwanzo wa harakati za kudai katiba ile ilipitishwa na ccm iletwe tuipigie kura bila masharti yale yalio tutoa bunge la katiba .angalau tupate tume huru na kupunguzwa kwa madaraka ya raisi .tuanzia hapo tujipange kwa uchaguzi ujao.vinginevyo kwa uzoefu ccm itaturudisha kwenye chama kimoja.yaani kosa la kususia bunge la katiba ilikuwa sawa na kumsusia nyani shamba lako la mahindi .napia haikuwa busara kutaka kila unacho taka upate 100% unapokwenda kuingia kwenye meza ya majadiliano ,lazima tukiri ili kosa tuanzi na akili mpya .
Hahahaaa ww unajiliwaza tu nani akuchague?? Kwa umaskini ulionao ww wa kuacha ubunge?? Hahahaa sizitaki mbichi hiziNamnukuu:
"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"
My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Kosa kubwa upinzani tulifanya kususia bunge la katiba ni heri tungebaki ikapitishwa ile katiba ya ccm maana ni heri ilikuwa na tume huru na raisi kupunguziwa madaraka .Tusingejikuta natulio kutana nayo uchaguzi huu 2020 .lazima viongozi wa upinzani wakubali walikosa hekima na maarifa kwa ajili ya gadhabu ,ushauri wangu viongozi wetu haijalishi umetegewa au bahati mbaya au ni kwa uzembe umeanguka ,cha msingi kuinuka na kusonga mbele safari kwa kutumia maarifa na ustadi mkubwa ..
Then this time watakifuta, hakuna haya ya kuwa na chama ambacho wao kila kitu ni kususa tuWamechelewa kukifuta, wangekifuta hata mwaka jana.
Then this time watakifuta, hakuna haya ya kuwa na chama ambacho wao kila kitu ni kususa tu
Nasema hivi wamechelewa. Mpigie Magufuli mwambie atangaze cdm kufutwa hata mchana huu, ila hatuko tayari kugeuzwa mazoba wa kuporwa haki, na kushiriki bunge lilipatikana kwa umwagaji damu. Kawapeni NCCR na CUF wao ndio wanamnyenyekea rais, na wanatetemekea vyeo vya mbeleko. Hilo bunge ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Wapinzani walikuwa bungeni msimu uliopita, ni kipi kipya kilifanyika? Acha Magufuli kuzuia siasa afute hata hivyo vyama vya siasa ibaki ccm, sioni ni kwanini mtu akashiriki kwenye bunge lililopatakina kwa uharamia. Kama huna uwezo wa kupata hela nje ya bunge hapo sawa. Huyo Hilda hajawahi kuwa mbunge, umewahi kumuona akijipendekeza ili apate madaraka ya mbeleko? Mbona ana mvuto kuliko Tulia ambaye ni spika? Ubunge usiwatoe utu kisa pesa.
Ngoja ruzuku ikatwe, tutaelewana tu
Sasa kuwepo bungeni ndio ulitaka kila jambo lao likubaliwe?
Ni lipi limewahi kukubaliwa ili useme wasipokuwepo sasa hivi ndio watakacho hakitafanyika?
Kukata ruzuku mbona hilo dogo futeni hicho chama kabisa. Tunajali utu kuliko kuendekeza siasa za tumbo, huku watu wameuawa, kuachwa na vilema na uporaji mkubwa wa kura.
Sasa unajua sababu ni kuwa wao ni wachache, na mfumo wa bunge ni kupiga kura Sasa unategemea nn?
Sasa mkigoma ndio Hao watu wanafufuka au
Weee jamaa bwana,Hawafufuki lakini tunawapa heshima zao. Endeleeni nyie na karamu ya shetani, sio kila mmoja anashiriki uovu kwa ajili ya pesa za kujikimu na umaskini.
Na yeye amekuwa msaliti tena?Majina yanaratibiwa kijanja na ester bulaya
Tuwasupport mkuu hata kwa kuwatia moyoMkuu Babati ,CHADEMA na ACT - Wazalendo kuna wadada majembe sana sana kwa kweli. Japo nipo mbali na nyumbani,lakini nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa hawa wadada kupitia video za mikutano yao ya kampeni.
Hakika hawa ni hazina ya taifa.
Mwenyezi Mungu awabariki na awalinde ili taifa linufaike nao.
Amen to that.Tuwasupport mkuu hata kwa kuwatia moyo