Hebu jaribu kufikiria mume wa Fatma Karume(kama yupo),atakuwa na Hali gani huko aliko.Mke wake anawaza twitter na kuiponda serikali kuliko ambavyo alitakiwa aijali familia yake.Wana harakati wengi wapo kwenye mahusino sema hawapendi kuweka mabwana zao hadharani, refer Fatma ana Mdosi, Maria sarungi, Catherine ruge na wengine wengi, hata hilda Newton afike pahala aweke hadharani tu
Bro una mfumo dume.Hebu jaribu kufikiria mume wa Fatma Karume(kama yupo),atakuwa na Hali gani huko aliko.Mke wake anawaza twitter na kuiponda serikali kuliko ambavyo alitakiwa aijali familia yake.
Kimsingi uanaharakati na mapenzi ni vitu viwili tofauti kabisa.Mwanaharakati yoyote akitaka kupotea mapema, basi aingie kwenye mapenzi kijinga.
mwanaume mwenye kengele mbili zinazoninginia kuandika hizi ni zeero brain,Huyu amekosekana tu ndio maana anajifanya asingekubali na Inasemekana baada ya kuona Nusrat yupo Dodoma Hilda alimlaumu kwanini wamemnyima nafasi
Wanawake ni nyoka.
Huyu naye aliteuliwa auNamnukuu:
"Sifahamu chochote kuhusu orodha ya majina ya Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA inayosemakana kuwa imepelekwa Tume hata hivyo hata kama kweli jina langu lipo siwezi kwenda kuapishwa kuwa Mbunge maana binafsi siwezi kushiriki mchakato wa kuhalalisha haramu kuwa halali"
My Take 1
Tunataka tusikie kauli ya Halima Mdee na Esta Bulaya.
Hujanielewa mkuu, hakuna sehemu niliyosema Mwanamke hapaswi kuwa whistle blower, ukitaka kunielewa kwanza ujue kabisa kuwa shughuli za kiserekali(bila kujali unatokea chama gani),sio sawa na uanaharakati, hasa huu wakibongo ambao Mara zote umeegemea Sana katika swala zima la kupinga kila kitu, na kutukana matusi mitandaoni. Unapoamua kufanya uanaharakati kama wa kibongo ni lazima ujue kabisa kuwa unawindwa. Kwahiyo Ni kosa kubwa sana kiusalama kwa mwanaharakati(tujikite kwa wabongo) kujihusisha na mapenzi kijingajinga, otherwise hauchelewi kunasa kwenye mtego.Bro una mfumo dume.
Kwamba mwanamke hapaswi kuwa "whistle Blower"?
Vipi Khaadija Kopa, Ummy Mwalimu, Samia Suluhu muda wote wapo kwenye siasa, wanawaza waume zao kweli? wanapata muda wa mapenzi kweli, umeona kwa hawa Maria na Fatma?
Wapo ambao hawapo Twitter ila wapo insta mda wote, hao unasemaje?
Sawa ndugu ila elewa, kuna sheria inaitwa "whistle Blower Protection ..." ambayo inawatambua na kuwalinda.Hujanielewa mkuu, hakuna sehemu niliyosema Mwanamke hapaswi kuwa whistle blower, ukitaka kunielewa kwanza ujue kabisa kuwa shughuli za kiserekali(bila kujali unatokea chama gani),sio sawa na uanaharakati, hasa huu wakibongo ambao Mara zote umeegemea Sana katika swala zima la kupinga kila kitu, na kutukana matusi mitandaoni. Unapoamua kufanya uanaharakati kama wa kibongo ni lazima ujue kabisa kuwa unawindwa. Kwahiyo Ni kosa kubwa sana kiusalama kwa mwanaharakati(tujikite kwa wabongo) kujihusisha na mapenzi kijingajinga, otherwise hauchelewi kunasa kwenye mtego.
Kwa mdude alikamatwaje🤔? Piga picha huyo jamaa anaejiita Kigogo kule twitter, angekuwa na wanawake wanaojulikana kizembe ingechukua muda gani mpaka kukamatwa kwake..?
👉Kwahiyo wanawake wengi wanaharakati huwa hawana mahusiano kizembezembe kama unavyodhani mkuu.
Kwahiyo sasa hivi wakienda hao wa viti maalum ndio watakuwa wengi?
Me naunga mkono viti maalumu waende bungeni ili wapate platform ya kuongea
Sema bahati itakuwa haijamuangukia.Huyu dada huwa ana msimamo sana na hayupo tayari kuyumbishwa na bahasha za khaki
ahahahahaKwahiyo Mahera kaedit majina bila kuwasiliana na aliowaingiza?
Sio swala la mataga hilo, jamaa hakuishi katika misingi ya kianaharakati.Ukiachana na hizo sheria za kwenye makaratasi, swala la kuwa mwanaharakati sio kitu simple kama unavyofikiria ,ndio maana hata wewe hapo ulipo bila ya hizi fake IDs huwezi kupiga kelele juu ya serikali na ukawa salama kama ulivyo sasa.Sawa ndugu ila elewa, kuna sheria inaitwa "whistle Blower Protection ..." ambayo inawatambua na kuwalinda.
Pili, Mdude hakukamatwa na mwanamke kama ilivyoripotiwa na MATAGA,
Mahela wamsajiri tu yanga ,kitengo cha kuedit mikataba ya wachezaji waliopewa mikataba ya miezi sits sitaKwahiyo Mahera kaedit majina bila kuwasiliana na aliowaingiza?
Haupo serious ww🤔! Ni wazi haumfahamu!Huyu dada huwa ana msimamo sana na hayupo tayari kuyumbishwa na bahasha za khak
Huko ndio utaenda kuandamana?
[emoji23][emoji23]
Wacha ubishi wa maccmHaupo serious ww[emoji848]! Ni wazi haumfahamu!