Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Huu msiba umenifundisha jambo
Mungu akikuinua Muombe akupe uhai ili uweze kufurahia mafanikio yako

Mungu akikuinua usimuache mshikilie akupe na afya uweze kufurahia Baraka zako
R.I.P champion
Kwani unapoinuka, unajuaje kuwa umeinuliwa na Mungu?
Na ni Mungu gani huyo amuinuaye mwanadamu akamnyima pumzi ya uhai?
 
USA sio India, wahindi sio India

Hata TZ wapo elewq mada
Matajiri wote wa Saudi na UAE wanaenda India kutibiwa, USA hawaendi kwa sababu madaktari wa India waliosoma India wanapewa visa na kuja kutibu USA.
India ina madaktari wazuri sana hela yako tu. Huwezi kufananisha na madokta Unjani.
Nimeelewa sana mada, unataka kusema India ni poor na doctors wake incompetent. \
YOU ARE WRONG!!
 
Kama nimekuelewa hivi
 
Unaeleweka sana mzee. Ila shida ni kuwa tunajua kushangilia na wivu.
 
Huu msiba umenifundisha jambo
Mungu akikuinua Muombe akupe uhai ili uweze kufurahia mafanikio yako

Mungu akikuinua usimuache mshikilie akupe na afya uweze kufurahia Baraka zako
R.I.P champion
Ndio ilivyo. Kadri unavyofikia kilele cha mlima au mti ndio hatari ya kuanguka au kupoteza uhai inakuwa kubwa zaidi. Ndio wakati wa kujishikilia na kushikiliwa
 
Kwa mtazamo wangu au baada ya kusoma maoni ya wengi ni kwamba,kuficha kuumwa kwa public figure kama marehemu sio nzuri,ni vizur wananchi wapewe taarifa,hata likitokea la kutokea basi haiwi la kushangaza sana

Pili jamani ukomavu ni pamoja na kuwa tayar kupokea maoni ya watu wengine na si kutaka kile kinachokupendeza tu

Kuna watu hamtaki maoni upande wa pili wa dini kwa ambao tunaamini katika maneno ya Mungu,kwamba hakika Mungu haicheleweshi nafsi yoyote mda wake unapofika na wala haiwahishi kama mda wake haujafika

Kwahiyo iwe angeenda popote ambapo mnaamini kuna madaktar bingwa basi kama wa kufa ni wa kufa na kama ni wa kuwa hai hata ukipelekwa mwananyamala utapona

Kuna mdau alitoa mfano mzuri hapa,je kuna mtu angetegemea Lissu angepona? Au Sativa?

Hapa ndio ile dhana nzima ya kusema kama siku yako haijafika huondoki na ikifika utaondoka tu

Mjifunze kupokea maoni ya wengine hata kama hampendi na sio kutaka kusikia mnayoyapenda kusikia

Think Big
 
Bahati mbaya humu JF mtu akipost speculations tena zikawa za ulozilozi akaongezea na masuala ya wivuwivu, bila kujali uhalisia wa hoja mezani, basi kila mtu atakubali!!
 
Ujinga

Wataendelea kurudishwa kama mizigo kwenye ndege
 
Hamna hicho kitu ,sababu kuu ya kukimbilia India ni cost effective . Kwa mfano, brain tumor surgery , india inaweza kwenda hadi mil 20 tu
Europe na USA not less than 50M , with this , ndio maana indiq ipo corrupt na serikali nyingi

Ni vile Viongozi wetu hasa CCM ni hamnazo, wanaweza ku invest hapo hapo TZ . Medicine is not about Having physicians and so forth , medicine is about technology na equipments za kisasa, mtaala ni huu huu , but why tunakuja majuu kwa tiba ; ? Watu wanafuata vifaa na technology inayofanya screening na kuona tatizo
Hapo bongo unaweza kuambiwa unakisukari kumbe wala huna kisukari na unaanza kupewa dawa intensively ,it is because hatuna uwezo na vifaa vya kufanya screening ya maana

Kwa mfano, TZ tuna MRI ngapi?
 
Mara mia mgonjwa akapelekwa Egypt kuliko india.

Ila hapa kwa ukubwa wa.ile nafasi nachelea kusema kuna mkono wa shetani hapa si mapenzi ya mungu
 
Lakini isituzuie kuchukua tahadhari just because kifo ni kifo na kifo mpango wa mungu. Tukiamini kwenye haya yatupasa tukae na tusubiri kifo. Lisu alipona kwa sababu the right place inayoweza kusababisha kifo haikuguswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…